Sauti ya MTU, na Jinsi anavyoongea, inamchango mkubwa katika Kukubalika kwake Kwa Wasikilizaji wake !!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
MTU anaweza kua ana Elimu Kubwa ,ila Sauti yake, na jinsi anavyoongea, anakoswa mvuto , ushawishi kwa Wanaomsikiliza.

Kwa mfano.

SIGRADA huyu alohamia CHAUMMA, huyu Sauti yake ukimsikiliza ni kelele tupu ,Haina mvuto,Hana ushawishi wa kukufanya uendelee kumsikiliza.

ROSE MAYAMBA , huyu Mwanachadema alianza kuongea tu Sauti yake Ina Mamlaka, jinsi anavyoongea , inakulazim uache mambo yote kumsikiliza.

MAGUFULI huyu Hayati ilikua akiwa anatoa Hotuba ,mtaani Kila Mahali Shughuli zinasimama. Huyu wa Sasa hamna mwenye time naye.

LISSU huyu Mkuu Sauti, Jinsi yake ya kuongea , Maarifa aloyajaza kichwan , Nadhan huyu ndio Mwanasiasa mwenye mvuto sana .. MBOWE huyu alibebwa na Chama.

Heche, Lema, Gwajima, na Polepole, Mpina ,Hawa viongozi Sauti zao, namna yao ya kuongea , lazima uache yote kuwasikiliza , jambo ambalo watu kama Zitto, Mwigulu, Bashungwa n.k wamekoswa.
 
Magufuli hakuwa na sauti ya kumshawishi MTU ila alikuwa na sauti iliyoashiria kiburi , dharau na kebehi.

Watu ambao walikuwa wakizungumza sauti zao ni za kimamlaka alikuwa Dr Mpango , Lowassa , Dr Mengi , Mkapa , Lissu
 
Bahati mbaya kizimkazi yeye huwa anasoma tu
 
Magufuli hakuwa na sauti ya kumshawishi MTU ila alikuwa na sauti iliyoashiria kiburi , dharau na kebehi.

Watu ambao walikuwa wakizungumza sauti zao ni za kimamlaka alikuwa Dr Mpango , Lowassa , Dr Mengi , Mkapa , Lissu
Watu waliochukia Magu vyeti feki watu ambao hawakua amenyooka Katika utafutaji wao Wewe kisa cha kumchukia Magu ni nini?
 
MTU anaweza kua ana Elimu Kubwa ,ila Sauti yake, na jinsi anavyoongea, anakoswa mvuto , ushawishi kwa Wanaomsikiliza.

Kwa mfano.

SIGRADA huyu alohamia CHAUMMA, huyu Sauti yake ukimsikiliza ni kelele tupu ,Haina mvuto,Hana ushawishi wa kukufanya uendelee kumsikiliza.

ROSE MAYAMBA , huyu Mwanachadema alianza kuongea tu Sauti yake Ina Mamlaka, jinsi anavyoongea , inakulazim uache mambo yote kumsikiliza.

MAGUFULI huyu Hayati ilikua akiwa anatoa Hotuba ,mtaani Kila Mahali Shughuli zinasimama. Huyu wa Sasa hamna mwenye time naye.

LISSU huyu Mkuu Sauti, Jinsi yake ya kuongea , Maarifa aloyajaza kichwan , Nadhan huyu ndio Mwanasiasa mwenye mvuto sana .. MBOWE huyu alibebwa na Chama.

Heche, Lema, Gwajima, na Polepole, Mpina ,Hawa viongozi Sauti zao, namna yao ya kuongea , lazima uache yote kuwasikiliza , jambo ambalo watu kama Zitto, Mwigulu, Bashungwa n.k wamekoswa.

..Samia, Mchimbi, na Husseni, huwezi kuwasililiza na kuwafuatilia wanachoongea.
 
Wengine sauti zao zinakufanya upate usingizi mtamu.
 
Mimi sina tatizo na MTU Ila ujinga wa kutaka kumuua TAL ndo nilianza kumuona hana akili kiazi mmoja.
TAL nae alikua anatumiwa na Wanamtandao kupitia Mwenyekiti wake ambae ni mwana mtandao mwenzao bila hata yeye kujua vipi Leo Magu hayupo huyo TAL wanataka kumnyonga maana kazi waliomtuma alishamaliza.
 
Sasa alitaka kumuua TAL Ila akauliwa yeye Kama Kuku wa broila
 
Ndugu wananchi, leo nipo.,.,.... Benjamini William Mkapa Kila akiongea mwisho wa mwezi akihutibia taifa hata FM radio mawimbi yalimheshim
 
Back
Top Bottom