MTU anaweza kua ana Elimu Kubwa ,ila Sauti yake, na jinsi anavyoongea, anakoswa mvuto , ushawishi kwa Wanaomsikiliza.
Kwa mfano.
SIGRADA huyu alohamia CHAUMMA, huyu Sauti yake ukimsikiliza ni kelele tupu ,Haina mvuto,Hana ushawishi wa kukufanya uendelee kumsikiliza.
ROSE MAYAMBA , huyu Mwanachadema alianza kuongea tu Sauti yake Ina Mamlaka, jinsi anavyoongea , inakulazim uache mambo yote kumsikiliza.
MAGUFULI huyu Hayati ilikua akiwa anatoa Hotuba ,mtaani Kila Mahali Shughuli zinasimama. Huyu wa Sasa hamna mwenye time naye.
LISSU huyu Mkuu Sauti, Jinsi yake ya kuongea , Maarifa aloyajaza kichwan , Nadhan huyu ndio Mwanasiasa mwenye mvuto sana .. MBOWE huyu alibebwa na Chama.
Heche, Lema, Gwajima, na Polepole, Mpina ,Hawa viongozi Sauti zao, namna yao ya kuongea , lazima uache yote kuwasikiliza , jambo ambalo watu kama Zitto, Mwigulu, Bashungwa n.k wamekoswa.