Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Bahati mbaya kizimkazi yeye huwa anasoma tuMTU anaweza kua ana Elimu Kubwa ,ila Sauti yake, na jinsi anavyoongea, anakoswa mvuto , ushawishi kwa Wanaomsikiliza.
Kwa mfano.
SIGRADA huyu alohamia CHAUMMA, huyu Sauti yake ukimsikiliza ni kelele tupu ,Haina mvuto,Hana ushawishi wa kukufanya uendelee kumsikiliza.
ROSE MAYAMBA , huyu Mwanachadema alianza kuongea tu Sauti yake Ina Mamlaka, jinsi anavyoongea , inakulazim uache mambo yote kumsikiliza.
MAGUFULI huyu Hayati ilikua akiwa anatoa Hotuba ,mtaani Kila Mahali Shughuli zinasimama. Huyu wa Sasa hamna mwenye time naye.
LISSU huyu Mkuu Sauti, Jinsi yake ya kuongea , Maarifa aloyajaza kichwan , Nadhan huyu ndio Mwanasiasa mwenye mvuto sana .. MBOWE huyu alibebwa na Chama.
Heche, Lema, Gwajima, na Polepole, Mpina ,Hawa viongozi Sauti zao, namna yao ya kuongea , lazima uache yote kuwasikiliza , jambo ambalo watu kama Zitto, Mwigulu, Bashungwa n.k wamekoswa.
Hajui aongee niniBahati mbaya kizimkazi yeye huwa anasoma tu
Watu waliochukia Magu vyeti feki watu ambao hawakua amenyooka Katika utafutaji wao Wewe kisa cha kumchukia Magu ni nini?Magufuli hakuwa na sauti ya kumshawishi MTU ila alikuwa na sauti iliyoashiria kiburi , dharau na kebehi.
Watu ambao walikuwa wakizungumza sauti zao ni za kimamlaka alikuwa Dr Mpango , Lowassa , Dr Mengi , Mkapa , Lissu
Siku hizi wanamwandaria script aha ha ha ha asitoke nje ya mstariKuna mmoja ana mipasho kila siku tunasutwa
MTU anaweza kua ana Elimu Kubwa ,ila Sauti yake, na jinsi anavyoongea, anakoswa mvuto , ushawishi kwa Wanaomsikiliza.
Kwa mfano.
SIGRADA huyu alohamia CHAUMMA, huyu Sauti yake ukimsikiliza ni kelele tupu ,Haina mvuto,Hana ushawishi wa kukufanya uendelee kumsikiliza.
ROSE MAYAMBA , huyu Mwanachadema alianza kuongea tu Sauti yake Ina Mamlaka, jinsi anavyoongea , inakulazim uache mambo yote kumsikiliza.
MAGUFULI huyu Hayati ilikua akiwa anatoa Hotuba ,mtaani Kila Mahali Shughuli zinasimama. Huyu wa Sasa hamna mwenye time naye.
LISSU huyu Mkuu Sauti, Jinsi yake ya kuongea , Maarifa aloyajaza kichwan , Nadhan huyu ndio Mwanasiasa mwenye mvuto sana .. MBOWE huyu alibebwa na Chama.
Heche, Lema, Gwajima, na Polepole, Mpina ,Hawa viongozi Sauti zao, namna yao ya kuongea , lazima uache yote kuwasikiliza , jambo ambalo watu kama Zitto, Mwigulu, Bashungwa n.k wamekoswa.
Mimi sina tatizo na MTU Ila ujinga wa kutaka kumuua TAL ndo nilianza kumuona hana akili kiazi mmoja.Watu waliochukia Magu vyeti feki watu ambao hawakua amenyooka Katika utafutaji wao Wewe kisa cha kumchukia Magu ni nini?
TAL nae alikua anatumiwa na Wanamtandao kupitia Mwenyekiti wake ambae ni mwana mtandao mwenzao bila hata yeye kujua vipi Leo Magu hayupo huyo TAL wanataka kumnyonga maana kazi waliomtuma alishamaliza.Mimi sina tatizo na MTU Ila ujinga wa kutaka kumuua TAL ndo nilianza kumuona hana akili kiazi mmoja.
Sasa alitaka kumuua TAL Ila akauliwa yeye Kama Kuku wa broilaTAL nae alikua anatumiwa na Wanamtandao kupitia Mwenyekiti wake ambae ni mwana mtandao mwenzao bila hata yeye kujua vipi Leo Magu hayupo huyo TAL wanataka kumnyonga maana kazi waliomtuma alishamaliza.
Dr mpango aiseeMagufuli hakuwa na sauti ya kumshawishi MTU ila alikuwa na sauti iliyoashiria kiburi , dharau na kebehi.
Watu ambao walikuwa wakizungumza sauti zao ni za kimamlaka alikuwa Dr Mpango , Lowassa , Dr Mengi , Mkapa , Lissu
Namkubali the humble guy .Dr mpango aisee
Yes,he is.Indeed👊Namkubali the humble guy .