Sauti ya MTU, na Jinsi anavyoongea, inamchango mkubwa katika Kukubalika kwake Kwa Wasikilizaji wake !!

Umemsahau na Lucas Mwashambwa kwenye hilo group la kina bashungwa
 
TAL nae alikua anatumiwa na Wanamtandao kupitia Mwenyekiti wake ambae ni mwana mtandao mwenzao bila hata yeye kujua vipi Leo Magu hayupo huyo TAL wanataka kumnyonga maana kazi waliomtuma alishamaliza.
Upo sahihi kabisa, kulikuwa hakuna haja ya kumpinga JPM kufuta mikataba mibovu kama ya Acacia, Barrick, bandari ya Bagamoyo, kupinga ufisadi na kuja na mikataba ya kulinda rasilimali za Taifa, elimu bure, uwajibikaji, kiongozi mwenye uthubutu, mkali.

Hizi zilikuwa sera za chadema hadi 2015 walipomchukua Lowassa. Ingekuwa timu nzuri Lissu na JPM kuwa upande mmoja wa kutetea maslahi ya Taifa.
 
Wakili Mkuu wa Serikali Nassor Katuga utadhan I anatongoza vile au amepata speeching fever?
 
Paul Makonda mbona hajazungumziwa ndugu WanaJamvi?
 
Ni kweli. Mimi mtu mbaye namsikitia ni huyu Mrema aliyekuwa CHADEMA halafu akahamia CHAUMMA. Alipokuwa CHADEMA chake chake kilikuwa ni cha kupewa kwa upendeleo kwa sababu ana sauti fulani ya kichaga, halafu haina mvuto hata kidogo. Akiongea hana ushawishi wowote. Mtu mwingine mwenye sauti ya ushawishi ni Mbowe.
 
TAL nae alikua anatumiwa na Wanamtandao kupitia Mwenyekiti wake ambae ni mwana mtandao mwenzao bila hata yeye kujua vipi Leo Magu hayupo huyo TAL wanataka kumnyonga maana kazi waliomtuma alishamaliza.
Katafute upotoshaji mwingine sio huo kwa Lisu. Katika watu wanaojitambua ni huyo Lisu, huna uwezo wa kumtumia kwenye siasa za tumbo. Msimamo wake dhidi ya serekali ya ccm anao toka akiwa NCCR.
 
Benard membe ana uongeaji wenye mvuto,ushawishi Hadi huwa nataman yeye ndio angepata urais wa awamu ya 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…