Pre GE2025 Sauti ya Watanzania(ClubHouse): Tuna mkakati wa kuchanga Tsh 1B kumsaidia Lissu na CHADEMA kuupata ukombozi unaohitajika nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
za ndani kabisa ,nasikia mbowe anajuta sana ...kupeleka project ya serikali kushindana na LISu kiti Cha umakamu
 
Michango ya akina kiboko ya wachawi imehamia kwenye siasa. Wajinga wanasetiwa ili wapigwe.
 
Reactions: UCD
Tatizo siyo mitaji bali kuthubutu
 
Hizo mnazopiga huko ccm zimewashinda kufanyia cha maana bado mnamendea na hizo!! Kweli ccm ni janga la hili taifa.
 
Leteni namba za kuchangia haraka kazi ianze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…