Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Hii hhii inayotawaliwa na mama!Labda iumbwe Tanzania nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hhii inayotawaliwa na mama!Labda iumbwe Tanzania nyingine.
Hii hata makaburu waliishindwa.Hii hhii inayotawaliwa na mama!
Ngoja tuone mkuu,yajayo yatakushangaza!Hii hata makaburu waliishindwa.
Wape wajanja waleHata Bil 10 tutachanga tu kwa ajili ya kulikomboa taifa letu dhidi ya mkoloni mweusi CCM
Nyumbu katika ubora wake! 🤣Hata Bil 10 tutachanga tu kwa ajili ya kulikomboa taifa letu dhidi ya mkoloni mweusi CCM
Una fail mkuu.Tena diaspora wenyewe sasa hivi wanaishi vyooni kuwakwepa ICE.Sio muda mzuri kuwaomba michango.
Tatizo siyo mitaji bali kuthubutuJapo najua hiyo bil 1 haipo na hamuwezi kuchangia. Ila 1B tuleteeni watu wenye akili tuwafundishe namna inavyoweza kuwekezwa kwa vijana wakabidili maisha yao na ikawa organic campaign kwa vijana.
Lakini kwa kuwa mmekosa akili mnawaza kujaza mafuta ya bodaboda kwenye misafara na kununulia vijana sungura.
Hizo mnazopiga huko ccm zimewashinda kufanyia cha maana bado mnamendea na hizo!! Kweli ccm ni janga la hili taifa.Japo najua hiyo bil 1 haipo na hamuwezi kuchangia. Ila 1B tuleteeni watu wenye akili tuwafundishe namna inavyoweza kuwekezwa kwa vijana wakabidili maisha yao na ikawa organic campaign kwa vijana.
Lakini kwa kuwa mmekosa akili mnawaza kujaza mafuta ya bodaboda kwenye misafara na kununulia vijana sungura.
Wachangiaji wakubwa wa Chadema majority wapo Marekani.Huku kwingine hawana support kubwa ki vile.Una fail mkuu.
Diaspora wote wapo Marekani tu?
Leteni namba za kuchangia haraka kazi ianze.Mwakilishi sauti ya watanzania (club house) - Kaswahili Juma Kaswahili, amesema kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu tokea siku ya kwanza alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, hivyo wanaangalia utaratibu jinsi wanavyoweza kuchanga Tsh Bilioni 1 ili zimsaidie Lissu katika kukijenga Chama nchini.
View attachment 3237760