Pre GE2025 Sauti ya Watanzania(ClubHouse): Tuna mkakati wa kuchanga Tsh 1B kumsaidia Lissu na CHADEMA kuupata ukombozi unaohitajika nchini

Pre GE2025 Sauti ya Watanzania(ClubHouse): Tuna mkakati wa kuchanga Tsh 1B kumsaidia Lissu na CHADEMA kuupata ukombozi unaohitajika nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
za ndani kabisa ,nasikia mbowe anajuta sana ...kupeleka project ya serikali kushindana na LISu kiti Cha umakamu
 
Michango ya akina kiboko ya wachawi imehamia kwenye siasa. Wajinga wanasetiwa ili wapigwe.
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Japo najua hiyo bil 1 haipo na hamuwezi kuchangia. Ila 1B tuleteeni watu wenye akili tuwafundishe namna inavyoweza kuwekezwa kwa vijana wakabidili maisha yao na ikawa organic campaign kwa vijana.
Lakini kwa kuwa mmekosa akili mnawaza kujaza mafuta ya bodaboda kwenye misafara na kununulia vijana sungura.
Tatizo siyo mitaji bali kuthubutu
 
Japo najua hiyo bil 1 haipo na hamuwezi kuchangia. Ila 1B tuleteeni watu wenye akili tuwafundishe namna inavyoweza kuwekezwa kwa vijana wakabidili maisha yao na ikawa organic campaign kwa vijana.
Lakini kwa kuwa mmekosa akili mnawaza kujaza mafuta ya bodaboda kwenye misafara na kununulia vijana sungura.
Hizo mnazopiga huko ccm zimewashinda kufanyia cha maana bado mnamendea na hizo!! Kweli ccm ni janga la hili taifa.
 
Mwakilishi sauti ya watanzania (club house) - Kaswahili Juma Kaswahili, amesema kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu tokea siku ya kwanza alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, hivyo wanaangalia utaratibu jinsi wanavyoweza kuchanga Tsh Bilioni 1 ili zimsaidie Lissu katika kukijenga Chama nchini.

View attachment 3237760
Leteni namba za kuchangia haraka kazi ianze.
 
Back
Top Bottom