Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wanasema zoezi limesimama..Mbona sioni juhudi zozote za kuwakoa?!
Nasikitka sana, leo hii vijana wanakosa ajira wakati kuna sekta kibao ikiwemo hii ya uokoaji haina wafanyakazi wa kutosha, tujitafakari.Toka ghorofa limeanguka saa 3 mpka mda huu watu hawajapata msaada wa kuokolewa
Unakufa kwa kukosa msaada sio jengo kuanguka.
Nasikitka sana, leo hii vijana wanakosa ajira wakati kuna sekta kibao ikiwemo hii ya uokoaji haina wafanyakazi wa kutosha, tujitafakari.
Kuna watu walikuw wanapiga simu toka asubuhi wako underground, na bado hawajaokolewa.Nasikitka sana, leo hii vijana wanakosa ajira wakati kuna sekta kibao ikiwemo hii ya uokoaji haina wafanyakazi wa kutosha, tujitafakari.
Daaah mkuu sijui umewaza nini kusema hivi. Ila ni kitu cha ukweli kabisa an mule mule..
Mwanzo nilikua nashangaa sana mtu anaye ilaumu serikali ila sasa kwa haya yanayo endelea aaaah wanipige tuu ukweli taswma
Hawa watu wengine wanaweza kupata nafasi ya kuokoa maisha ya mtu wakasema huyo ni attention seeker tu.Kuna wadau humu mchana walisema wanaotuma ujumbe kutoka kwenye kifusi ni attention seeker, kwamba huwezi kutuma ujumbe ukiwa ndani ya kifusi na huo ujasiri inapata wapi, sasa hadi wanazungumza kwenye simu... Nadhani wameelewa kwamba kuna watu huko chini wanateseka....
Jinsi muda unavyokwenda na probability ya kuwakuta hai hao ndugu zetu nayo inapungua...
So sad aiseee hili joto tuu plass kiu daah Mungu awanusuruLeo nimesema silali, nawaombea wawe hai. Ninalia, namshukuru Mungu kuwa wako hai kweli 🙏
Jamani kila mmoja kwa Imani yake, tuwaombee. Wako wamechoka, kiu, hewa hakuna, giza na hofu. 💔
Mimi naona watu wengi, watakuwa pale kushoto kwenye kifusi kikubwa. Kama hatuwezi uwokozi, tungeomba hata mataifa mengine, waje waokoe jahazi. Wana vifaa na watu wenye uzoefu na majanga ya aina hii. Tufanye chochote, waokolewe. Tuna la kujifunza, tuwekeze vifaa vya kisasa vya uokozi, tuache kununua magari ya anasa serikalini.
Daaah mkuu hali hii inatisha mnooo..Kuna watu walikuw wanapiga simu toka asubuhi wako underground, na bado hawajaokolewa.
Kuna watu wanapost kutoa taarifa ili waokolewe ila bado zoezi linaendelea.
Hii sio mara ya kwanza ghorofa kuanguka mjini kariakoo na hata posta. Kuna haja ya kuweka nguvu kwenye uokoaji...
Hii serikali ya CCM ni ya hovyo sanaAyo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi bado unaendelea, zoezi halijasitishwa
"Tupo chini tupo 10 toka asubuhi, tuko upande wa Don Touch, piga hata kwa Mama Samia, tuko toka jana,"
Kwa upande mwingine amesikika Mwanamke mmoja akisema wana hali mbaya.
View attachment 3154074
Ingekuwa ni busara kumuunganisha na muokoaji ili ampe maelekezo na sio kumpotezea charge ili uuze habari.Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi bado unaendelea, zoezi halijasitishwa
"Tupo chini tupo 10 toka asubuhi, tuko upande wa Don Touch, piga hata kwa Mama Samia, tuko toka jana,"
Kwa upande mwingine amesikika Mwanamke mmoja akisema wana hali mbaya.
View attachment 3154074
weka majina ya watu hao vyombo vya uokoaji vifuatilie.Kuna watu walikuw wanapiga simu toka asubuhi wako underground, na bado hawajaokolewa.
Kuna watu wanapost kutoa taarifa ili waokolewe ila bado zoezi linaendelea.
Hii sio mara ya kwanza ghorofa kuanguka mjini kariakoo na hata posta. Kuna haja ya kuweka nguvu kwenye uokoaji...