feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Mama yupo kazini mkuu,kaa kwa kutulia.Mbona sioni juhudi zozote za kuwakoa?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yupo kazini mkuu,kaa kwa kutulia.Mbona sioni juhudi zozote za kuwakoa?!
Kusitisha evacuation ndio safe way?hoja sio kufukua kifusi...hoja ni safe evacuation ya watu.
wapi ulipoambiwa evacuation imesitishwa??Kusitisha evacuation ndio safe way?
Umeambiwa huna akili huko ju. No kweli huna. Nimekujibu kulingana na upuuzi ulioandika kwa wachangiaji..
Wewe ni mpuuzi 1 hivi
TatiAyo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi bado unaendelea, zoezi halijasitishwa
"Tupo chini tupo 10 toka asubuhi, tuko upande wa Don Touch, piga hata kwa Mama Samia, tuko toka jana,"
Kwa upande mwingine amesikika Mwanamke mmoja akisema wana hali mbaya.
View attachment 3154074
Tatizo la wanahabari wetu cjui wamesomea wapi unaona mtu ana hali mbaya bado unarudia rudia hali zenu zikoje lakin, ndo wale wakuhoji misiban huu msiba umeuchukuliaje, 😢 feel their pain.Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi bado unaendelea, zoezi halijasitishwa
"Tupo chini tupo 10 toka asubuhi, tuko upande wa Don Touch, piga hata kwa Mama Samia, tuko toka jana,"
Kwa upande mwingine amesikika Mwanamke mmoja akisema wana hali mbaya.
View attachment 3154074
Na badokuna jinga linasema mama kaupiga mwingiToka ghorofa limeanguka saa 3 mpka mda huu watu hawajapata msaada wa kuokolewa
Unakufa kwa kukosa msaada sio jengo kuanguka.
Nasikitka sana, leo hii vijana wanakosa ajira wakati kuna sekta kibao ikiwemo hii ya uokoaji haina wafanyakazi wa kutosha, tujitafakari.
Pumbavuu mwandishi Hali zenu Hali zenu wenzio wapo chin ya Tani za kifusi kwa akili yako wangekwambia wapo vizur wanapunga upepo amaAyo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi bado unaendelea, zoezi halijasitishwa
"Tupo chini tupo 10 toka asubuhi, tuko upande wa Don Touch, piga hata kwa Mama Samia, tuko toka jana,"
Kwa upande mwingine amesikika Mwanamke mmoja akisema wana hali mbaya.
View attachment 3154074
Inashangaza sanaPumbavuu mwandishi Hali zenu Hali zenu wenzio wapo chin ya Tani za kifusi kwa akili yako wangekwambia wapo vizur wanapunga upepo ama
We hujui faida ya wanahabari nn hao ndio wanaofanya hadi unapata hii habari sasahivIngekuwa ni busara kumuunganisha na muokoaji ili ampe maelekezo na sio kumpotezea charge ili uuze habari.
huyu muandishi ni kilaza mwingine anayecheza na maisha ya watu
ndio ...how come wameweza kufanya mawasiliano na wahanga wakati hapo hapo kuna Team ya uokoaji...kwa nini baada ya kupigiwa simu na wahanga wasiwajulishe Team ya uokoaji?wao wanaarekodi na kuanza kurusha kama tukio la Mandonga !huku ni kukosa utu
Dah. Mama hayupo😭Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi bado unaendelea, zoezi halijasitishwa
"Tupo chini tupo 10 toka asubuhi, tuko upande wa Don Touch, piga hata kwa Mama Samia, tuko toka jana,"
Kwa upande mwingine amesikika Mwanamke mmoja akisema wana hali mbaya.
View attachment 3154074
wewe ndio hovyo usiyefikiri kwa kina.Mawasiliano ya mwandishi na wahanga yametokeaje kama hawajuani??
Nani aliyewaunganisha??
Toka ghorofa limeanguka saa 3 mpka mda huu watu hawajapata msaada wa kuokolewa
Unakufa kwa kukosa msaada sio jengo kuanguka.
Nasikitka sana, leo hii vijana wanakosa ajira wakati kuna sekta kibao ikiwemo hii ya uokoaji haina wafanyakazi wa kutosha, tujitafakari.
Mad Max , Poor BrainKuna wadau humu mchana walisema wanaotuma ujumbe kutoka kwenye kifusi ni attention seeker, kwamba huwezi kutuma ujumbe ukiwa ndani ya kifusi na huo ujasiri inapata wapi, sasa hadi wanazungumza kwenye simu... Nadhani wameelewa kwamba kuna watu huko chini wanateseka....
Jinsi muda unavyokwenda na probability ya kuwakuta hai hao ndugu zetu nayo inapungua...