Dah, inaumiza nafsi, nimefumba macho nikafanya ni kama labda ni mimi nipo chini ya hiyo dhahama, hapo unaona kabisa unaenda kuachana na dunia na wanao unaenda kuwaacha pia,jamaa,Hiyo moment isikie kwa mwenzako
🥺🥺
Mungu awatilie wepesi waokolewe kwakweli, ingekuwa nchi za wenzetu washaokolewa tangu jana ileile,wenzetu wamewekeza kwenye kila dharula, sisi tunawekeza kwenye upuuzi tu, inauma sana kwakweli, tuache kununua midege,ni wakati sasa wakununua dhana za uokozi, Dar majengo mengi ni magumashi,