Sauti za waliofukiwa na Ghorofa Kariakoo: "Tuko hai lakini tunateseka, tusaidieni tutakufa"

Sauti za waliofukiwa na Ghorofa Kariakoo: "Tuko hai lakini tunateseka, tusaidieni tutakufa"

Hiyo moment isikie kwa mwenzako
🥺🥺
Dah, inaumiza nafsi, nimefumba macho nikafanya ni kama labda ni mimi nipo chini ya hiyo dhahama, hapo unaona kabisa unaenda kuachana na dunia na wanao unaenda kuwaacha pia,jamaa,

Mungu awatilie wepesi waokolewe kwakweli, ingekuwa nchi za wenzetu washaokolewa tangu jana ileile,wenzetu wamewekeza kwenye kila dharula, sisi tunawekeza kwenye upuuzi tu, inauma sana kwakweli, tuache kununua midege,ni wakati sasa wakununua dhana za uokozi, Dar majengo mengi ni magumashi,
 
Nasikitka sana, leo hii vijana wanakosa ajira wakati kuna sekta kibao ikiwemo hii ya uokoaji haina wafanyakazi wa kutosha, tujitafakari.

Daaah mkuu sijui umewaza nini kusema hivi. Ila ni kitu cha ukweli kabisa an mule mule..

Mwanzo nilikua nashangaa sana mtu anaye ilaumu serikali ila sasa kwa haya yanayo endelea aaaah wanipige tuu ukweli taswma
Inaastahili lawama kwkweli, Jiwe alikazana kununua midege, bora fedha zingine angenunua zana za uokoaji, ndioivyo yashatokea hakuna jinsi
 
Kama jamaa anatoa mpaka point, tutashindwa haraka kupeleka hewa kupitia blowers kwa kudrill hizo points na kushusha pipes za hewa huku tunaendelea na rescue?

Wapeleke Excavators long reach boom zenye attachment ya kugrap waanze kufanya surface clean up kwa pick and carry.
Mobile cranes zimejaa hapo Dar zipelekwe zianze kusafisha juu, ni option nzuri maana zinakaa mbali na kuanza kutoa uchafu juu juu bila kuhatarisha maisha ya walio chini.
 
Ingekuwa ni busara kumuunganisha na muokoaji ili ampe maelekezo na sio kumpotezea charge ili uuze habari.
huyu muandishi ni kilaza mwingine anayecheza na maisha ya watu

Uko sahihi, baada ya kuanzia kukusanya habari ni vyema hizo communication zingefanywa na waokozi ili wajue exact points walipo wahanga.
 
Vyombo vya kuokoa wako pale usiku kucha suala la kuokoa sio unaingia tu na kuvuta mtu, hili jumba limeanguka inahitaji akili kutafuta njia ili usije kuleta maafa zaidi zoezi kama hili sio nguvu kubwa inahitajika wala wingi wa vyombo kunakuwa na commander anaongoza team kwa mpangilio na wote watatoka mpaka sasa operation naweza kusema yamefanikio sababu uhai umeokolewa watu wengi na tuombe kila kiumbe kitolewe na iwe salama.
 
Tujifunze na kutrain watu kupitia haya majanga aisee, unahitaji watu strong wenye maarifa mengi kwenye hizi kazi za uokoaji jumlisha vifaa vya kisasa.

Hizi rescue team zinapaswa kuwa na cranes, excavator ( mobile and chain) rescue helicopters, fire helicopters, wheel loaders, etc pamoja na all necessary attachments kwa dharula yeyote Ile.
Hapo kariakoo kunapaswa kuwa na supplies za fire hydrant zinazofanya kazi muda wote.
 
Malalamiko kwa kiasi kikubwa ni response time na speed yenyewe ya uokoaji.

Kuwa competent ni pamoja na kutumia akili kwa haraka na kuact kwa haraka.
Nimemsikiliza kijana aliyeingia ndani kabisa na kutoka na watu kadhaa ( huyu ni raia WA kawaida sana jasiri), tulitegemea speed hiihii kwa vyombo vya uokozi.

Tutumie pia majanga kama haya kama eneo la kujifunza na ikitokea tena basi kunakuwa na changes, kila yatokeapo maafa tunaona mapungufu yaleyale, competency + kukosa vifaa.
 
Tujifunze na kutrain watu kupitia haya majanga aisee, unahitaji watu strong wenye maarifa mengi kwenye hizi kazi za uokoaji jumlisha vifaa vya kisasa.

Hizi rescue team zinapaswa kuwa na cranes, excavator ( mobile and chain) rescue helicopters, fire helicopters, wheel loaders, etc pamoja na all necessary attachments kwa dharula yeyote Ile.
Hapo kariakoo kunapaswa kuwa na supplies za fire hydrant zinazofanya kazi muda wote.
Kwa Nchi hii mkuu.
Pesa zipo ila zinapigwa na wahini tu.
Kodi wanayokusanya hapo kariakoo ingetosha kufanya yote uliyoyasema
 
Ni Chalamila kazi yake hiyo,waziri mkuu pia kuna ngazi kibao kabla ya kumtaja Samia,
Upumbavu gani huu kila kitu mama,mama,mama.
Samia atoke ikulu aje awaokoe nyinyi badala ya kwenda Dubai au China
 
Mungu awaponye waokolewe wakiwa wazima...

Sisi wengine tuache siasa kwenye maisha ya watu...

Tushirikiane kufanya uokozi baadaye ndio tutoe lawama kwa wahusika.
 
Dah, inaumiza nafsi, nimefumba macho nikafanya ni kama labda ni mimi nipo chini ya hiyo dhahama, hapo unaona kabisa unaenda kuachana na dunia na wanao unaenda kuwaacha pia,jamaa,

Mungu awatilie wepesi waokolewe kwakweli, ingekuwa nchi za wenzetu washaokolewa tangu jana ileile,wenzetu wamewekeza kwenye kila dharula, sisi tunawekeza kwenye upuuzi tu, inauma sana kwakweli, tuache kununua midege,ni wakati sasa wakununua dhana za uokozi, Dar majengo mengi ni magumashi,
Mkuu ni kweli wala sio uwongo tunawekeza katika mambo ya ajabu ajbu..
Leo hii nimeongea na jamaa anasema watu kule wengine wanakufa presha baada ya kuona wenzao wanakufa hi hali ogopa sana mkuu....

Joto, kiu hii kitu acha tuu
 
Reporter ana maswali ya kipumbavu acheni kuwapigia simu na kuuliza maswali ya kijinga maswali mengine yanawachosha na kuwakatisha tamaa
Lucha acha kufokea wenzako....
Pale anauliza ili apate hali halisi ya kule chini mkuu
 
Mungu aendelee kuwapa ujasiri wa kuvumilia,niliwahi kukwama kwenye lift dakika kama 5 nilihisi kuishiwa nguvu na kutaka kupoteza fahamu,japo kulikuwa na hewa,sasa kukaa zaidi ya masaa 10,nawaza sipati majibu,ni neema ya Mungu tu inahitajika...
 
Back
Top Bottom