Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kuna maswali mengine ya kipuuzi sana . Ameuliza mko wa ngapi ni sawa mpo upande gani hajauliza halafu hayo maswali alitakiwa awe anauliza mbele ya waokoaji hakuna muda wa kupoteza yeye anauza sura kwenye kameraMbona mnatufokea hvo..
Tunataka kujua hali ipo vipi