kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya maji, elimu na Afya.
2025 mapema kazi inaisha asubuhi kwa kua wananchi wanaona kazi zinazoendelea mtaani, Rais Samia anabadilisha maisha ya wananchi.
2025 mapema kazi inaisha asubuhi kwa kua wananchi wanaona kazi zinazoendelea mtaani, Rais Samia anabadilisha maisha ya wananchi.