kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Acha ujinga wewe! Maisha mtaani yamekuwa magumu kupitiliza. Bidhaa za chakula zimepanda bei maradufu, huku hela nayo ikiwa haina kabisa thamani.
Labda mumsifie huyo mama kwa kuwageuza kuwa chawa wake. Nje ya hapo, hakuna kitu.
Hamna kufungamaharage kilo moja elf 5
mfungo wa ramadhan wa this time hali itakuwa mbaya zaidi
Vitu ni kweli vimepanda bei lakini na mzunguko wa ela umekua mkubwa ukilinganisha na hapo awali mtaani kulikua hakuna ela kabisamaharage kilo moja elf 5
mfungo wa ramadhan wa this time hali itakuwa mbaya zaidi
Vitu ni kweli vimepanda bei lakini na mzunguko wa ela umekua mkubwa ukilinganisha na hapo awali mtaani kulikua hakuna ela kabisa
Amefanikiwa pia kuhakikisha kila bidhaa inapanda bei kila mwezi hasa chakula, apongezwe kwa hilo piaSerikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya maji, elimu na Afya.
2025 mapema kazi inaisha asubuhi kwa kua wananchi wanaona kazi zinazoendelea mtaani, Rais Samia anabadilisha maisha ya wananchi.
View attachment 2486211
Chakula kinapopanda bei hii inamaanisha maisha ya mkulima yanaenda kuwa mazuri.Acha ujinga wewe! Maisha mtaani yamekuwa magumu kupitiliza. Bidhaa za chakula zimepanda bei maradufu, huku hela nayo ikiwa haina kabisa thamani.
Labda mumsifie huyo mama kwa kuwageuza kuwa chawa wake. Nje ya hapo, hakuna kitu.