Sawa Kikwete waweza kuwa huongozi nchi kwa remote ya Zanzibar lakini vetting ya 2015 itakutafuna

Sawa Kikwete waweza kuwa huongozi nchi kwa remote ya Zanzibar lakini vetting ya 2015 itakutafuna

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza,

Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe KINGI, mnaocheza draft mnaelewa kete ya KINGI ina nguvu gani, kila kete ikaayo njiani inapita nayo, hayo tuyaache

Ulizingua sana 2015, Mauaji yote kuanzia ya Kato Mpaka SASHA yote ni yako


Britanicca
 
Huyu huyu Samia ambae hata kusoma vizuri kilichoandikwa hawezi. Utakua upon ndotoni
Rais Ni mmoja tu kwenye Taifa hili Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Utake usitake na upende usipende utaomgozwa naye hadi 2030 na tukitaka tutabadilisha katiba ili aendelee kuongoza hadi achoke Mwenyewe na huna cha kufanya wala kuzuia wala kukwamisha
 
Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza,

Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe KINGI, mnaocheza draft mnaelewa kete ya KINGI ina nguvu gani, kila kete ikaayo njiani inapita nayo, hayo tuyaache

Ulizingua sana 2015, Mauaji yote kuanzia ya Kato Mpaka SASHA yote ni yako

Britanicca
Kwa mujibu wa Polepole, aliyeicheza hiyo kete yupo na ndie ndiye mtu aliyeisukuma ile No. 2 pale!, sasa ikitokea No. 1, ikagoma No. 2 isiingie Kingi, then kutakuwa hakuna jinsi, utaratibu ule ule utatumika!, mimi nimewapandishia uzi na kuulizia kuhusu utaratibu, je tuutumie utaratibu ule ule? Kwa Kauli Kama Hizi, Kiukweli Kabisa,Huyu Mtu, Atamsaidia sana Rais Samia,Taifa na Watanzania. Mnaonaje kama 2030 Twende Naye Kwa Utaratibu Ule Ule ?

Lakini kwa vile kuondoka kwa JPM ni tetesi za hisia tuu, hazina uthibitisho wowote, then tuendelee kuamini kilichomkuta JPM ni kazi ya Mungu, hivyo Samia ni chaguo lhalali a Mungu kwa Tanzania. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

P
 
Samia yuko sahihi sema upole ndo umezidudi.
Yaani wasaidiza wake wana mzunguka sana kwa kupiga kiasi kwamba liwalo na liwe ila wanakula kuputiliza
Uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia ni Mkubwa sana na usiotiliwa mashaka . Ndio maana ni kwa uwezo wake mkubwa wa kiuongozi Taifa letu limeweza kupiga hatua kubwa sana za kimaendeleo katika kila secta. Ndio maana ukiona akipewa mualiko maalum na wa heshima katika Mkutano wa Nchi 20 Tajiri Duniani ambao ulifanyika kule Brazil.

Ndio sababu anatambulika kama Bingwa na Nguli wa kupambana na vifo vya Mama na Mtoto Barani Afrika na Duniani kote kwa ujumla wake. Ni yeye ndiye amelipatia heshima Taifa letu kimataifa mpaka kufikia hatua kila mtu kutamani kufika Tanzania
 
Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza,

Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe KINGI, mnaocheza draft mnaelewa kete ya KINGI ina nguvu gani, kila kete ikaayo njiani inapita nayo, hayo tuyaache

Ulizingua sana 2015, Mauaji yote kuanzia ya Kato Mpaka SASHA yote ni yako


Britanicca
Huyu kazibgua hata juzi kwenye chama chao kutoruhusu ushindani jambo ambalo polepole alilipigia kelele sana mpka akaangamizwa
 
Back
Top Bottom