Sawa Kikwete waweza kuwa huongozi nchi kwa remote ya Zanzibar lakini vetting ya 2015 itakutafuna

Sawa Kikwete waweza kuwa huongozi nchi kwa remote ya Zanzibar lakini vetting ya 2015 itakutafuna

Samia yuko sahihi sema upole ndo umezidudi.
Yaani wasaidiza wake wana mzunguka sana kwa kupiga kiasi kwamba liwalo na liwe ila wanakula kuputiliza
Mtu mpole hawezi kuua watu zaidi ya elfu 3. Kilichofanyika ni ushetani
 
Rais Ni mmoja tu kwenye Taifa hili Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Utake usitake na upende usipende utaomgozwa naye hadi 2030 na tukitaka tutabadilisha katiba ili aendelee kuongoza hadi achoke Mwenyewe na huna cha kufanya wala kuzuia wala kukwamisha
Tuliza kisebengo chupa ya chai
 
Kwa mujibu wa Polepole, aliyeicheza hiyo kete yupo na ndie ndiye mtu aliyeisukuma ile No. 2 pale!, sasa ikitokea No. 1, ikagoma No. 2 isiingie Kingi, then kutakuwa hakuna jinsi, utaratibu ule ule utatumika!, mimi nimewapandishia uzi na kuulizia kuhusu utaratibu, je tuutumie utaratibu ule ule? Kwa Kauli Kama Hizi, Kiukweli Kabisa,Huyu Mtu, Atamsaidia sana Rais Samia,Taifa na Watanzania. Mnaonaje kama 2030 Twende Naye Kwa Utaratibu Ule Ule ?

Lakini kwa vile kuondoka kwa JPM ni tetesi za hisia tuu, hazina uthibitisho wowote, then tuendelee kuamini kilichomkuta JPM ni kazi ya Mungu, hivyo Samia ni chaguo lhalali a Mungu kwa Tanzania. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

P
Yes
 
Back
Top Bottom