britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Samia yuko sahihi sema upole ndo umezidudi.Samia ana uwezo mkubwa wa Kiongozi
Sema changamoto ya demokrasia aliua Magufuli ikaja kumwangukia yeye
Wewe ni bure kabisa.Samia ana uwezo mkubwa wa Kiongozi
Sema changamoto ya demokrasia aliua Magufuli ikaja kumwangukia yeye
Huyu huyu Samia ambae hata kusoma vizuri kilichoandikwa hawezi. Utakua upon ndotoniSamia ana uwezo mkubwa wa Kiongozi
Sema changamoto ya demokrasia aliua Magufuli ikaja kumwangukia yeye
Wewe ndiye bure usiyejitambuaWewe ni bure kabisa.
Rais Ni mmoja tu kwenye Taifa hili Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Utake usitake na upende usipende utaomgozwa naye hadi 2030 na tukitaka tutabadilisha katiba ili aendelee kuongoza hadi achoke Mwenyewe na huna cha kufanya wala kuzuia wala kukwamishaHuyu huyu Samia ambae hata kusoma vizuri kilichoandikwa hawezi. Utakua upon ndotoni
Kwa mujibu wa Polepole, aliyeicheza hiyo kete yupo na ndie ndiye mtu aliyeisukuma ile No. 2 pale!, sasa ikitokea No. 1, ikagoma No. 2 isiingie Kingi, then kutakuwa hakuna jinsi, utaratibu ule ule utatumika!, mimi nimewapandishia uzi na kuulizia kuhusu utaratibu, je tuutumie utaratibu ule ule? Kwa Kauli Kama Hizi, Kiukweli Kabisa,Huyu Mtu, Atamsaidia sana Rais Samia,Taifa na Watanzania. Mnaonaje kama 2030 Twende Naye Kwa Utaratibu Ule Ule ?Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza,
Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe KINGI, mnaocheza draft mnaelewa kete ya KINGI ina nguvu gani, kila kete ikaayo njiani inapita nayo, hayo tuyaache
Ulizingua sana 2015, Mauaji yote kuanzia ya Kato Mpaka SASHA yote ni yako
Britanicca
Uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia ni Mkubwa sana na usiotiliwa mashaka . Ndio maana ni kwa uwezo wake mkubwa wa kiuongozi Taifa letu limeweza kupiga hatua kubwa sana za kimaendeleo katika kila secta. Ndio maana ukiona akipewa mualiko maalum na wa heshima katika Mkutano wa Nchi 20 Tajiri Duniani ambao ulifanyika kule Brazil.Samia yuko sahihi sema upole ndo umezidudi.
Yaani wasaidiza wake wana mzunguka sana kwa kupiga kiasi kwamba liwalo na liwe ila wanakula kuputiliza
Sijawahi kusoma ulichoandikaRais Ni mmoja tu kwenye Taifa hili Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Utake usitake na upende usipende utaomgozwa naye hadi 2030 na tukitaka tutabadilisha katiba ili aendelee kuongoza hadi achoke Mwenyewe na huna cha kufanya wala kuzuia wala kukwamisha
Sasa unajibu nini? Kweli huna akili kabisa weweSijawahi kusoma ulichoandika
Kujibu sio lazima uwe umesoma, unabonyeza tu hapo kwenye reply. Hata hiki ulichoandika tena hapa sijakisomaSasa unajibu nini? Kweli huna akili kabisa wewe
Duh 🙄 ! Kazi kweli kweli 😁Kujibu sio lazima uwe umesoma, unabonyeza tu hapo kwenye reply. Hata hiki ulichoandika tena hapa sijakisoma
Huyu kazibgua hata juzi kwenye chama chao kutoruhusu ushindani jambo ambalo polepole alilipigia kelele sana mpka akaangamizwaKikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza,
Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe KINGI, mnaocheza draft mnaelewa kete ya KINGI ina nguvu gani, kila kete ikaayo njiani inapita nayo, hayo tuyaache
Ulizingua sana 2015, Mauaji yote kuanzia ya Kato Mpaka SASHA yote ni yako
Britanicca
Ana upole gani aruhusu mauaji ya kiwango kile?Samia yuko sahihi sema upole ndo umezidudi.
Yaani wasaidiza wake wana mzunguka sana kwa kupiga kiasi kwamba liwalo na liwe ila wanakula kuputiliza
Hii takataka iwekeni kwa trash binKujibu sio lazima uwe umesoma, unabonyeza tu hapo kwenye reply. Hata hiki ulichoandika tena hapa sijakisoma