Sawa Kikwete waweza kuwa huongozi nchi kwa remote ya Zanzibar lakini vetting ya 2015 itakutafuna

Polepole nae ana mzimu mkali sana,maneno yoke yanaishi na hakuna wa kuyateka
 
Vipi. Anataka kumuwahisha na huyu pia?
 
Hiyo nia anayo?
Anawezaje kuondoa kete namba 1?
 
Yaani siku mkishtuka mkanitambua mi ni jembe nipo huku Nina uwezo wa kubadili hali iliyopo,mtakua mmechelewa sana!!

Siasa inatakiwa iwe KAZI ya kawaida isiyo na malipo kibao kama ilivyo sasa Bali utaalam!!
 
Ha
Hapa ujumbe mkubwa vilevile janja ndo boss wa watu wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…