Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Unadhani kweli Mungu aliogopa kwamba wangejenga mara wa kufika huko aliko? Siku hizi tuna spacecraft zinaenda mpaka outer space lakini hawajamkuta Mungu huko!
Kwa mujibu wa maandiko huenda wangetimiza kusudi lao kama Mungu alivyosema mwenyew mkuu
 
Na tutafika kwa umri gani?
Uliofia duniani?
 
YESU ni muweza wa Yote kwake lugha ni si tabu hata chembe namane yeye hunena neno na jambo linakuwa Yohana 1:1 kila lugha na kabila na Taifa vyote vipo ndani ya uweza wake
kwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…