Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Kuna watu wanakariri kiarabu kwa kudanganywa eti Mungu ni Mwarabu na lugha pekee anayojua ni kiarabu😀😀😀
 
Funny kwamba pepo mbili tofauti zimeahidiwa toka kwa mungu wa Abraham mmoja.

Lakini ukifuatilia, Mohammad kwa kuwa alikuwa warlord, alikuwa anawapromise wapiganaji wake mambo ya kuvutia kwa binadamu wa kiume. Vitu kama vile wanawake na pombe.

Similar thing walikuwa wanafanya. wakishateka mji, wakaua wanaume wao, wanagawana mali, wake na mabinti zao.
Nadhani aliona kwa mbinguni aongeze idadi ya wanawake na hali ya ubikra.
Daaah hayo ni maoni Yako mkuu.
 
Ukifika huku Mbinguni tutakupa utaratibu kijana usiwe na shaka, cha muhimu nii kupambana ili ufike, je utaweza?
 
Back
Top Bottom