Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Nasikia kuwa mbali na mabikra 72 wasiomaliza ubikra, pia kuna mito ya pombe inayotiririka pombe milele na milele. Yaani ni kunywa tu non stop ukilewa unakwenda kuparamia mabikra wako...

Huku kwa Wagalatia unaambiwa 24/7 ni kusifu na kuabudu tu. Hizi pepo mbili yaani hazilingani kabisa utafikiri ni za Mungu wawili tofauti wakati anapaswa kuwa ni mmoja yule yule 🤔🤔🤔
Funny kwamba pepo mbili tofauti zimeahidiwa toka kwa mungu wa Abraham mmoja.

Lakini ukifuatilia, Mohammad kwa kuwa alikuwa warlord, alikuwa anawapromise wapiganaji wake mambo ya kuvutia kwa binadamu wa kiume. Vitu kama vile wanawake na pombe.

Similar thing walikuwa wanafanya. wakishateka mji, wakaua wanaume wao, wanagawana mali, wake na mabinti zao.
Nadhani aliona kwa mbinguni aongeze idadi ya wanawake na hali ya ubikra.
 
Wakuu Bwana ni mwema!!

Maandiko yanatuambia ya kuwa👇👇Mwanzo 11:1-7 (KJV) Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.

Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.

Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.

Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.

Bwana akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.

Bwana akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.

Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.

Vilevile yanatuambia baada ya taabu zetu hapa duniani basi tutaenda mbinguni Kwa Mungu wetu.

Huko mbinguni nikustarehe na kula Bata tu Hadi basi

Swali ambalo Huwa najiuliza Kila mara NI SAWA TUMEFIKA MBINGUNI JE TUTATUMIA LUGHA GANI?

imagine hii Dunia Ina lugha nyingi mno huenda ni maelefu ya lugha je TUTATUMIA LUGHA ipi kuwasiliana au tutatengwa?

Mfano sisi waswahili tunakuwa na kamkoa ketu. Vivyo hivyo na wakenya,Japan, USA,nk?

Kwa upande wa wenzetu mi naona lugha Yao ni Moja tu yaani kiaarabu pekee je sisi ambao Hadi Kuna bible zenye lugha ya kichagana kisukuma itakuaje?

Karibuni.
Huko ukisha fika hakuna muda wa lugha ya kuongea sijui Nini,au vile,ni unasomewa na ulipuliwa fireeee
 
[/QUO

Lugha ya malaika
 
Back
Top Bottom