Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Kwa waislamu mbinguni hakuna kuongea, ni kupigana miti tu mwanzo mwisho toka asubuhi hadi kesho asubuhi. Mbinguni kutakua kama danguro, ni harufu ya uchi tu mwanzo mwisho huku Allah akiwa amekaa ametulia anafurahia mizagamuano.

Dini zina stori za kipumbavu sana.
 
Swali la kipuuzi maana jibu lake umeshaliandika... Hapo kwenye huo mstari uliouandika umesema mwenyewe walikuwa wanazungumza lugha moja halafu Mungu akawabadili usemi wao basi ni yeye mwenyewe Mungu ndiye atakayerejesha ule usemi wa awali.
Ndo utuambie Sasa ilikuwa lugha Gani hiyo?
 
Lengo langu ni kichambua mambo kupata ukweli.

Mpaka sasa habari za Mungu kuwapo ni za kiimani tu, hazina uthibitisho.

Imani hata uongo unaamini tu.

Ukweli mpaka uthibitishwe ndiyo unajulikana.

Thibitisha Mungu yupo, mbingu ipo.
Naapa Kwa mbingu na ardhi Mungu yupo,pepo na jahenamu zipo pia.

Ameni
 
Kwa waislamu mbinguni hakuna kuongea, ni kupigana miti tu mwanzo mwisho toka asubuhi hadi kesho asubuhi. Mbinguni kutakua kama danguro, ni harufu ya uchi tu mwanzo mwisho huku Allah akiwa amekaa ametulia anafurahia mizagamuano.

Dini zina stori za kipumbavu sana.
Mizagamuo ndo kitu muhimu ktk maisha
 
Wee mwamba utakagi kuskia habari za pepo wala moto yaani weee...

Kila kitu thibitisha
Shekhe Kiranga unOrthodox unazingua bana.. wee ni shekhe ujue na umefuga ndefu kama sunnah ya mtume Mohamed anavyosema
Huyu jamaa pamoja na kumwaga sifa kedekede za peponi Bado haamini sijui aambiwe Kwa lugha Gani huyu
 
Mgari ya kwenda wapi? Yatakuwa yanatumia petrol au damu ya yesu?
Kuna wimbo wa wasabato niliwahi kuusikia kipindi Cha nyuma kutoka kanisa la waadventista wasabato kurasini ilikuwa inasema wataendesha gari la kifalme wakizunguka zungka kwenye mitaa mbinguni Kwa Mungu😂😂😂
"Jina la wimbo Jerusalem "
Kuhusu mafuta wao ndo Wana details zote. Code nimekupa
Mgari ya kwenda wapi? Yatakuwa yanatumia petrol au damu ya yesu?
 
Ilitakiwa iwe hivyo hapa duniani..lakini kinyume chake katuwekea manyege ya kumwaga na sheria juu USIZINI.
Duniani kuonja zote chungu na tamu halafu mbinguni Unakuta muamala wako ushathibitishwa kitambo kama unastahili ama lah
 
Kuna wimbo wa wasabato niliwahi kuusikia kipindi Cha nyuma kutoka kanisa la waadventista wasabato kurasini ilikuwa inasema wataendesha gari la kifalme wakizunguka zungka kwenye mitaa mbinguni Kwa Mungu😂😂😂
"Jina la wimbo Jerusalem "
Kuhusu mafuta wao ndo Wana details zote. Code nimekupa
Uongo mtupu😃
 
Back
Top Bottom