Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Nasikia kuwa mbali na mabikra 72 wasiomaliza ubikra, pia kuna mito ya pombe inayotiririka pombe milele na milele. Yaani ni kunywa tu non stop ukilewa unakwenda kuparamia mabikra wako...Ndio maana sijatoa darasa zima hapa kwa kuogopa watu kama nyie kuja kutokea mkuu...
Ila kiufupi huko peponi nisemale ni raha ya aina yake
Huku kwa Wagalatia unaambiwa 24/7 ni kusifu na kuabudu tu. Hizi pepo mbili yaani hazilingani kabisa utafikiri ni za Mungu wawili tofauti wakati anapaswa kuwa ni mmoja yule yule 🤔🤔🤔