Sawa tunaokukosoa unatuita 'Mbwa Mwitu'. Je, sisi ndiyo tulikufanya uuache Ukuu wako wa Mkoa ili 'ukagaragazwe' Kigamboni?

Akikujibu nitag mkuu 🀣🀣
 
WEKENI AKIBA YA MANENO NDUGU ZANGU. JPM HAWEZI KAMWE KUMTUPA MAKONDA.
MTASHUHUDIA HAYA MANENO YANGU 2021. NGAYO!
 
Mkuu wale watu wa kamati ya roho mbaya uliwapa mbuzi wao?Maana utabiri wako ulinifurahisha sana pale kigamboni.
 
WEKENI AKIBA YA MANENO NDUGU ZANGU. JPM HAWEZI KAMWE KUMTUPA MAKONDA.
MTASHUHUDIA HAYA MANENO YANGU 2021. NGAYO!
Kwa nini unafikili hivyo? Why Bashite? Wakati kuna watanzania Mil 50! What is so special with him? Nikiwa natafakari haya maswali najiuliza pia kwa nini Bashite ni mtanzania pekee ambaye yeye na familia yake( mke na mtoto wa kupandikiza) hawatakiwi kukanyaga ardhi ya Marekani.
 
Hivi hakusoma alama za nyakati kuwa hapendwi na alikuwa anatumika nguvu za jeshi la polisi kulazimisha Mambo yake. Ashanuka huyo Kama ipo sehemu akaoge Tena kwa mganga moya
 
Mwandamizi GENTAMYCINE, lakini DAB alisema yeye ndie mtu anaeongoza kati ya watu wanaoponda raha hapa duniani ?, inawezekana kwamba hajapoteza kitu,
Swali, hivi mkuu wa mkoa mpya wa dar yeye sio mwanaccm mwenzenu ?, mbona yeye hakuwa amevaa mavazi ya ccm kama makonda wakati wa makabidhiano ya ofisi ya RC ?.
 
Some times nalihurumia sana,unajua halijielewi sababu ya zero brain,kina kafulila wameliwa vichwa na wajumbe,kina Mwanri etc. Mbona hakuna mayoe kwa raia? HALIJIULIZI TATIZO NI NINI MBONA WATU WAMEFURAHI
 
Ndugu zangu, tambueni kwamba kuna watanzania kwa mamilion tena wenye sifa wako mitaani hawna kazi, mngeanza kuwahurumia kwanza hao na sio kupoteza muda kumjadili makonda
 
Pesa anazo nyingi za kutosha

Hasa zile B 3 za Yusuf Manji alizomchukulia Nyumbani Kwake maeneo ya Sea View. Sijajua hizo B 3 aligawana na Baba au Kachikichia mwenyewe.
 
Hasa zile B 3 za Yusuf Manji alizomchukulia Nyumbani Kwake maeneo ya Sea View. Sijajua hizo B 3 aligawana na Baba au Kachikichia mwenyewe.
Jamaa anahukumiwa kwa mengi sana, kafanya unyama vibaya sana kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…