demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Sawadogo bado nikijana mdogo Sana bado anajitafuta anandugu wamamtegemea tusaidiane wanatanzania kumpazia sauti apate stahiki zake.Msikilize anavyoongea Kwa uchungu, nimelia Sana, Ndugu wachambuzi mlimpamba Sana wakati anakuja sasa hivi mpambanieni apate haki yake. Mumemuomba apunguze hela msimlipe yote anayostahili amekubali Ila bado mnataka kumdhurumu hata Hicho kidogo.
Mwamba analalamika kuwa hajapewa hata senti moja ya pesa zake za kuvunjiwa mkataba.
Kila akizungumza na viongozi wanampa kalenda tu.. Mwana akamtumia meseji hadi mzee wa kususa lakini jitihada zake zikagonga mwamba.
Jamaa ameamua kufungua hadi kesi za madai kwa FIFA ili adai chake.
Sasa kama mnashindwa kumlipa huyu jamaa pesa ya miezi 6 tu, mtawezaji kununua Miqquesone ambaye mnaaminishwa kuwa atakuja kuchezea timu yenu?
Hapo hapo Barbra anawalalamikia kuwa klabu ina tabia ya kudhulumu pesa za watu.
Wakati huo huo CHAMA hajulikani kama ataendelea kucheza msimu huu kutokana na madai yake ya kutaka kumaliziwa signing fee yake ya mwisho.
Yaani mambo shaghala bagala.