Sawadogo Hajapewa Chake, Atishia Kufungua Kesi. Pesa ya Kumnunua Miquisine Itoke Wapi?

Sawadogo Hajapewa Chake, Atishia Kufungua Kesi. Pesa ya Kumnunua Miquisine Itoke Wapi?

Wewe jamaa na menzio akina Ngwena na Laban balaa sana..mnavichekesho sana
Pesa za watu sio jambo la kuchekesha.

Alipwe aende zake.

Walionywa kusajili mchezaji asiye na match fitness ila wakavaa headphone za mbao.
 
Halafu hao mashabiki ukiwakuta wanavyopiga kelele huku sasa. Timu babaishaji tu hamna la maana na ndio maana Babra anapost tweet za vikejeli kumbe anawalenga makolo
 
Kwa hali hii mwekezaji lazima akate tamaa. Yaani mchezaji umemsajili msimu uliopita tu mwa pesa nyingi! Huku ukiaminishwa na wajanja ya kuwa ni kiungo mkata umeme! Yaani Jonas Mkude hatii mguu!!

Halafu leo unaambiwa umlipe tena mamilioni ya shilingi! Kwa kigezo eti hafai!! Kweli??
Mkuu yule mchezaji aliyetoka Newcastle yuko wapi siku hizi
 
Bilionea mo Dewji ameshindwa kumlipa huyu dogo haki yake ?
Hata senti moja hajalipwa dogo anakosa gani ? Angalau Yule mungine alitoa maneno ya kibaguzi (racism in football ) akavunjiwa mkataba
 
Back
Top Bottom