Say no kwa kocha wa Simba

Say no kwa kocha wa Simba

Matola ndo hirizi ya simba, ndo mbeba mikoba ya waganga, makocha karibia 7 wameondoka lakini matola aguswi ng'o yupo tu anapeta, mkija kushtuka juu ya matola timu itakuwa inapumulia mashine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu umeongea Vyema Sana,
Pamoja na Mambo mengine lakin tatizo la Simba ni Matola sema amejificha kweny kivuli cha Ukongwe ili kuwapumbaza watu na Siku wakijakushtuka ni kumekucha,
Bahati mbaya zaidi hakuna wanaoliona kama ni tatizo,
Yanga walishagundua tatizo kama hili linaloitafuna Simba ndo maan Wakaamua kuachana na Watu wa Aina ya Matola kv Mkwasa na Mwambusi.
Simba inabidi wafanye Maamuz Magumu Either wamuondoe Matola ili timu ibaki na Wageni pekee (makocha) au Wawafukuze Wageni (Makocha) ili timu ibaki na Wazawa (Matola na Wenzie) Lakin kuendelea kuleta Wageni ili wafanye kazi na Matola, ni Jinamizi litakolitafuna Simba Kwa Muda mrefu.
Sina kumbukukumbu vizur Msimu ambao Simba alikuwa Unbeaten alifundishwa na Makocha wa namna gani (Wageni wote au Wazawa wote au mzawa na mgeni) nikimaanisha Kocha Mkuu na Msaidizi wake,
Kipind cha Uchebe,pamoja na kwamba timu ilikuwa inafungwa lakin Mpira uliokuwa unachezwa kila mtu alikuwa anauona na hii yote ni baada ya Uchebe kukataa kuletewa Kocha msaidiz mzawa wakati yeye alipendekeza wa kwake ambae Viongozi hawakumtaka, na Uchebe ikabidi apige kazi Mwenyew,
Kipind Simba anafungwa Mbele ya Magufuli, Makocha hawakuwa Wazawa na kila mtu alikuwa anaona Mpira uliokuwa unachezwa kipind hicho na hata hiyo mechi ilikuwa ni Kama Bahati mbaya tu,
Tangu Matola aaminiwe kuwa Kocha msaidiz Mashabiki wa Simba wamekuwa Roho kwatu Simba inapokuwa Inacheza,
Yaan furaha Yao Hadi Mpira uishe kabisa,
Matola na Makocha wa Kigeni hakuna wa Kumtuma Mwenzie (hawaheshimiani),
Matola yeye anajifanya ni Mtoto wa Msimbazi,mkongwe,mzawa nk kitu Ambacho kinawapumbaza Mashabiki,Viongozi,Wanachama na Wakereketwa wa Timu ya Simba kiasi kwamba na yeye anatumia Ka upenyo hakohako kuwagawa baaadhi ya wachezaji na Makocha Kwa Uongozi na kuna wakati anajifanya ameshauri Ila Ushaur wake haujafanyiwa kazi mwisho wa siku Kocha Mkuu ndo anaonekana tatizo Yanga walishagundua yote haya Kwa Kina Mkwasa,
Kuna Tukio flani,Kocha Mmadrido (Pablo) alishawahi kugomea Sub ya Matola na Hadi akawa anapiga viti mateke japo Viongozi waliifumba fumba Tu ili tusijue kinachoendelea kiundani Zaidi,
Pamoja na kwamba hata Pablo Hakuwa Kocha Mzuri lakin Suala la kuingiliwa katika Maamuzi Kwa Sababu Tu ya Uzawa wa Matola sio Suala zuri,
 
Hivi Matola ana kazi gani hapo Simba.

Kocha mpya hana uchungu na mechi za Dabi.

Ilitakiwa Matola anayeijua Simba amshauri wachezaji wanaotakiwa kucheza kutokana na anavyo waona kwenye Mazoezi.

Lingine kwa muda huu Yanga ipo vizuri sana.

Simba walikata Pumzi kabisa kipindi cha pili
Simba ilianza kucheza Darby na Yanga kabla hata Matola hajawa Mchezaji,
Je,Kwa Mechi ambazo Simba alikuwa anashinda Dhidi ya Yanga, Matola ndo alikuwa anapanga Kikosi?
Hata wakimleta Gadiola wa Manchester City akafanye Kazi na Matola bado Simba itafungwa na Yanga tu
 
Hivi Matola ana kazi gani hapo Simba.

Kocha mpya hana uchungu na mechi za Dabi.

Ilitakiwa Matola anayeijua Simba amshauri wachezaji wanaotakiwa kucheza kutokana na anavyo waona kwenye Mazoezi.

Lingine kwa muda huu Yanga ipo vizuri sana.

Simba walikata Pumzi kabisa kipindi cha pili
Matola si anataka kocha avurunde ili aachiwe yeye?
Unawajua wabongo wewe?
 
Tatizo ndo liko hapo,
Kwa Timu ambazo Matola amefundisha kama Kocha Mkuu, (Lipuli,Polisi,) alikuwa anafany Vizuri na Ndo Ka Fimbo anakowapigia Viongozi na Mashabiki wa Simba Hadi kufikia hatu ya Kuona Makocha wazungu hamna kitu
 
Kocha hapimwi kwa mechi 1/2/5/10.

Tulieni mambo yatakuwa poa tuu.
Kocha bora anaonekana mapema tu, huyu angekuwa na akili angeanza na first eleven ya muda wote na kuongezea maeneo machache ambayo watu wake wameondoka huku akitafuta kikosi chake taratibu, ... sasa yeye kaonesha kuwabagua wachezaji mapema sana na cha ajabu mpaka msimu unaanza simba hawana first eleven
 
Kwa hiyo kambi ya Misri haikua na tija, au! Maana Yanga walichekwa na kukejeliwa humu jukwaani kwa kuweka kambi Avic Town Kigamboni!

Jambo la kushukuru, mashabiki wao tuliwaunga mkono kwa 100%!!!
Kambi ya bei chee na ushindi juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Simba wakiulizwa ni kwa nini huwa wanafungwa na Yanga kila siku👇😁😁😁
 
Mkuu umeongea Vyema Sana,
Pamoja na Mambo mengine lakin tatizo la Simba ni Matola sema amejificha kweny kivuli cha Ukongwe ili kuwapumbaza watu na Siku wakijakushtuka ni kumekucha,
Bahati mbaya zaidi hakuna wanaoliona kama ni tatizo,
Yanga walishagundua tatizo kama hili linaloitafuna Simba ndo maan Wakaamua kuachana na Watu wa Aina ya Matola kv Mkwasa na Mwambusi.
Simba inabidi wafanye Maamuz Magumu Either wamuondoe Matola ili timu ibaki na Wageni pekee (makocha) au Wawafukuze Wageni (Makocha) ili timu ibaki na Wazawa (Matola na Wenzie) Lakin kuendelea kuleta Wageni ili wafanye kazi na Matola, ni Jinamizi litakolitafuna Simba Kwa Muda mrefu.
Sina kumbukukumbu vizur Msimu ambao Simba alikuwa Unbeaten alifundishwa na Makocha wa namna gani (Wageni wote au Wazawa wote au mzawa na mgeni) nikimaanisha Kocha Mkuu na Msaidizi wake,
Kipind cha Uchebe,pamoja na kwamba timu ilikuwa inafungwa lakin Mpira uliokuwa unachezwa kila mtu alikuwa anauona na hii yote ni baada ya Uchebe kukataa kuletewa Kocha msaidiz mzawa wakati yeye alipendekeza wa kwake ambae Viongozi hawakumtaka, na Uchebe ikabidi apige kazi Mwenyew,
Kipind Simba anafungwa Mbele ya Magufuli, Makocha hawakuwa Wazawa na kila mtu alikuwa anaona Mpira uliokuwa unachezwa kipind hicho na hata hiyo mechi ilikuwa ni Kama Bahati mbaya tu,
Tangu Matola aaminiwe kuwa Kocha msaidiz Mashabiki wa Simba wamekuwa Roho kwatu Simba inapokuwa Inacheza,
Yaan furaha Yao Hadi Mpira uishe kabisa,
Matola na Makocha wa Kigeni hakuna wa Kumtuma Mwenzie (hawaheshimiani),
Matola yeye anajifanya ni Mtoto wa Msimbazi,mkongwe,mzawa nk kitu Ambacho kinawapumbaza Mashabiki,Viongozi,Wanachama na Wakereketwa wa Timu ya Simba kiasi kwamba na yeye anatumia Ka upenyo hakohako kuwagawa baaadhi ya wachezaji na Makocha Kwa Uongozi na kuna wakati anajifanya ameshauri Ila Ushaur wake haujafanyiwa kazi mwisho wa siku Kocha Mkuu ndo anaonekana tatizo Yanga walishagundua yote haya Kwa Kina Mkwasa,
Kuna Tukio flani,Kocha Mmadrido (Pablo) alishawahi kugomea Sub ya Matola na Hadi akawa anapiga viti mateke japo Viongozi waliifumba fumba Tu ili tusijue kinachoendelea kiundani Zaidi,
Pamoja na kwamba hata Pablo Hakuwa Kocha Mzuri lakin Suala la kuingiliwa katika Maamuzi Kwa Sababu Tu ya Uzawa wa Matola sio Suala zuri,
Umenena point, bila shaka kuna wadau na viongoz wa simba humu watalufanyia kazi.
 
Isije ikawa wachezaji walipokea bahasha!
IMG_20220814_044804_862.jpg
 
Haya maswali huonekana humu jukwaani pale tu simba ikifungwa! Ikishinda, huwezi kuyaona. Mashabiki wa simba mnatakiwa kuwa wavumilivu.
Simba imeshinda lini dhidi ya Yanga ?
Andika tarehe hapa.
Simba ina kikombe gani cha msimu uliopita Kitaje.

Au mwulize Matola wako.
 
Matola si anataka kocha avurunde ili aachiwe yeye?
Unawajua wabongo wewe?
Hivi Kiyombo ndio wa kucheza na Yanga Kweli.
Mshambulia hana hata offtarget moja.
Kikosi hiki angepewa Masou Juma yule Mburundi ushindi ungekuwa nje nje.
Namkumbuka sana Masoud sema tu sina uwezo wa kumleta Simba.

Masudi anaamsha morale ya wachezaji hata wakiwa wabovu wanacheza vizuri.

Tungekuwa na Juma leo Rashidi Juma angekuwa mfungaji bora Simba.

Wachezaji wa Simba wanacheza kibosi bosi. Kwa kufurahia mishahara tu.
Ngoja ligi ianze mtajua ninacho maanisha.
 
Back
Top Bottom