ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeongea Vyema Sana,Matola ndo hirizi ya simba, ndo mbeba mikoba ya waganga, makocha karibia 7 wameondoka lakini matola aguswi ng'o yupo tu anapeta, mkija kushtuka juu ya matola timu itakuwa inapumulia mashine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona kipindi cha kwanza aliwafurahisha?Hataufai, hajui mechi zetu, anakurupuka, atatugharimu.
Bora kuziba ufa mapema kabla hatujavunja nyumba.
Nasema No, aondoke
Simba ilianza kucheza Darby na Yanga kabla hata Matola hajawa Mchezaji,Hivi Matola ana kazi gani hapo Simba.
Kocha mpya hana uchungu na mechi za Dabi.
Ilitakiwa Matola anayeijua Simba amshauri wachezaji wanaotakiwa kucheza kutokana na anavyo waona kwenye Mazoezi.
Lingine kwa muda huu Yanga ipo vizuri sana.
Simba walikata Pumzi kabisa kipindi cha pili
Matola si anataka kocha avurunde ili aachiwe yeye?Hivi Matola ana kazi gani hapo Simba.
Kocha mpya hana uchungu na mechi za Dabi.
Ilitakiwa Matola anayeijua Simba amshauri wachezaji wanaotakiwa kucheza kutokana na anavyo waona kwenye Mazoezi.
Lingine kwa muda huu Yanga ipo vizuri sana.
Simba walikata Pumzi kabisa kipindi cha pili
NakaziaMnamuonea tu kocha. Kwa tunaojua mpira, hamna wachezaji hapo. Huo ndo ukweli
Tatizo ndo liko hapo,Matola si anataka kocha avurunde ili aachiwe yeye?
Unawajua wabongo wewe?
Ndivyo urusi itakavyokung'utwa na Ukraine hatimaye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnapanga lineup ya mijitu iliyozindikwa na kulala makaburini mnategemea nini, wamenikera sana shenzi zao, pimbi hao pamoja na benchi zima la ufundi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]milivyomuana hana kisogo nikajua tu huyu anamatatizo ya akili.
Kocha bora anaonekana mapema tu, huyu angekuwa na akili angeanza na first eleven ya muda wote na kuongezea maeneo machache ambayo watu wake wameondoka huku akitafuta kikosi chake taratibu, ... sasa yeye kaonesha kuwabagua wachezaji mapema sana na cha ajabu mpaka msimu unaanza simba hawana first elevenKocha hapimwi kwa mechi 1/2/5/10.
Tulieni mambo yatakuwa poa tuu.
Kambi ya bei chee na ushindi juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo kambi ya Misri haikua na tija, au! Maana Yanga walichekwa na kukejeliwa humu jukwaani kwa kuweka kambi Avic Town Kigamboni!
Jambo la kushukuru, mashabiki wao tuliwaunga mkono kwa 100%!!!
Umenena point, bila shaka kuna wadau na viongoz wa simba humu watalufanyia kazi.Mkuu umeongea Vyema Sana,
Pamoja na Mambo mengine lakin tatizo la Simba ni Matola sema amejificha kweny kivuli cha Ukongwe ili kuwapumbaza watu na Siku wakijakushtuka ni kumekucha,
Bahati mbaya zaidi hakuna wanaoliona kama ni tatizo,
Yanga walishagundua tatizo kama hili linaloitafuna Simba ndo maan Wakaamua kuachana na Watu wa Aina ya Matola kv Mkwasa na Mwambusi.
Simba inabidi wafanye Maamuz Magumu Either wamuondoe Matola ili timu ibaki na Wageni pekee (makocha) au Wawafukuze Wageni (Makocha) ili timu ibaki na Wazawa (Matola na Wenzie) Lakin kuendelea kuleta Wageni ili wafanye kazi na Matola, ni Jinamizi litakolitafuna Simba Kwa Muda mrefu.
Sina kumbukukumbu vizur Msimu ambao Simba alikuwa Unbeaten alifundishwa na Makocha wa namna gani (Wageni wote au Wazawa wote au mzawa na mgeni) nikimaanisha Kocha Mkuu na Msaidizi wake,
Kipind cha Uchebe,pamoja na kwamba timu ilikuwa inafungwa lakin Mpira uliokuwa unachezwa kila mtu alikuwa anauona na hii yote ni baada ya Uchebe kukataa kuletewa Kocha msaidiz mzawa wakati yeye alipendekeza wa kwake ambae Viongozi hawakumtaka, na Uchebe ikabidi apige kazi Mwenyew,
Kipind Simba anafungwa Mbele ya Magufuli, Makocha hawakuwa Wazawa na kila mtu alikuwa anaona Mpira uliokuwa unachezwa kipind hicho na hata hiyo mechi ilikuwa ni Kama Bahati mbaya tu,
Tangu Matola aaminiwe kuwa Kocha msaidiz Mashabiki wa Simba wamekuwa Roho kwatu Simba inapokuwa Inacheza,
Yaan furaha Yao Hadi Mpira uishe kabisa,
Matola na Makocha wa Kigeni hakuna wa Kumtuma Mwenzie (hawaheshimiani),
Matola yeye anajifanya ni Mtoto wa Msimbazi,mkongwe,mzawa nk kitu Ambacho kinawapumbaza Mashabiki,Viongozi,Wanachama na Wakereketwa wa Timu ya Simba kiasi kwamba na yeye anatumia Ka upenyo hakohako kuwagawa baaadhi ya wachezaji na Makocha Kwa Uongozi na kuna wakati anajifanya ameshauri Ila Ushaur wake haujafanyiwa kazi mwisho wa siku Kocha Mkuu ndo anaonekana tatizo Yanga walishagundua yote haya Kwa Kina Mkwasa,
Kuna Tukio flani,Kocha Mmadrido (Pablo) alishawahi kugomea Sub ya Matola na Hadi akawa anapiga viti mateke japo Viongozi waliifumba fumba Tu ili tusijue kinachoendelea kiundani Zaidi,
Pamoja na kwamba hata Pablo Hakuwa Kocha Mzuri lakin Suala la kuingiliwa katika Maamuzi Kwa Sababu Tu ya Uzawa wa Matola sio Suala zuri,
Kocha wa Duniakocha wa makombe, kocha wa soka la kasi zitapigwa pasi mpaka msinzie, kocha la bei mbaya
Simba imeshinda lini dhidi ya Yanga ?Haya maswali huonekana humu jukwaani pale tu simba ikifungwa! Ikishinda, huwezi kuyaona. Mashabiki wa simba mnatakiwa kuwa wavumilivu.
Hivi Kiyombo ndio wa kucheza na Yanga Kweli.Matola si anataka kocha avurunde ili aachiwe yeye?
Unawajua wabongo wewe?