Kwa mfano ni vitu gani wewe unaona ni busara kudanganya hususan katika muktadha wa mapenzi?
Kwa mfano ni vitu gani wewe unaona ni busara kudanganya?
Why is it so hard for folks to live up to it?
Is it because we as human beings are inherently dishonest?
Chukulia hata huo mfano uliomuuliza Kongosho kuwa anatokea mtu anakuuliza Nyani Ngabu umewahi kulala na wanawake wangapi ? Hapa asilimia kubwa huwa hawasemi ukweli .
Au chukulia mwanao mdogo anakuuliza hivi dady watoto huwa wanatoka wapi ? Hapa lazima umdanganye vile anaendelea kukua atakutana na ukweli mwenyewe!
Chukulia hata huo mfano uliomuuliza Kongosho kuwa anatokea mtu anakuuliza Nyani Ngabu umewahi kulala na wanawake wangapi ? Hapa asilimia kubwa huwa hawasemi ukweli .
Au chukulia mwanao mdogo anakuuliza hivi dady watoto huwa wanatoka wapi ? Hapa lazima umdanganye vile anaendelea kukua atakutana na ukweli mwenyewe!
lol......aisee.....sijajuaga kama kuna watu wa hivyo!
Sasa hapo ukidanganya halafu ije igundulike baadaye kuwa ulidanganya, hiyo ni busara kweli?
Hii mimi wala sioni shida kumwelezea mtoto. Nitakachofanya ni kumwelezea katika lugha nyepesi na ambayo siyo descriptive sana.
Na kwenye hili sioni kwa nini mtu umdanganye mwanao ilhali kauliza swali la msingi kabisa.
chukulia mwanao mdogo anakuuliza hivi dady watoto huwa wanatoka wapi ? Hapa lazima umdanganye vile anaendelea kukua atakutana na ukweli mwenyewe!
tembea uone
Roulette chukulia ni mwanao wa miaka mitano hivi hapa unatumia lugha gani kumweleza kuwa watoto wanatoka wapi?How dangerous! What if she/he learns it the hard way? Kama wazazi,moja ya kazi yetu ni kuwafunza watoto kuelewa dunia inavokua. Sasa kama kwa mambo ya msingi kama hayo unamdanganya si unaona atakua na false perception kuhusu dunia na anaweza akapata/pana uzito sababu hakujua haya mambo yanakwendaje? na wewe kama mzazi utakua na kosa kubwa la kutomtahadhari na hatari hizo?
Hapa in fact ndio mfano mzuri wa kuonesha kwanini hatutakiwi kudanganya. Tumia ligha ya kitoto, mpe information anayo hitaji kulingana na miaka yake,n kulingana na mazingira yake. Kwa nini umdanganye mtoto?
Kwa mfano ni vitu gani wewe unaona ni busara kudanganya hususan katika muktadha wa mapenzi?
watu wengi wanapenda kusema uwongo wa wazi, utasikia: 'baby i did it but honestly, it didn't mean anything, it was just a fl^ng....it is you who i love....' what a load of cr^p
Hata kama umetembea na watu 20, sioni kwa nini uogope kivuli chako.
Kuliko useme wawili wakati ni 20, bora useme siko tayari kusema kwa sasa
Unaweza mwambia ila usimpe details zote kama hauko tayari
Ila watoto ni waelewa kuliko tunavyodhani
Tatizo la kumficha sana anaweza enda ambiwa na wengine usiyotaka ayajue au anakuwa 'misled'
Roulette chukulia ni mwanao wa miaka mitano hivi hapa unatumia lugha gani kumweleza kuwa watoto wanatoka wapi?
Nijuzeni labda mie bado niko nyuma ndio mana sijui. Labda utamwambia huwa wanazaliwa enhe akiuliza wanazaliwaje ? ....bado tu utaendelea kumwambia ?
Mmmmh, labda sijaelewa ila Usiku mrefu.