Say what you mean, mean what you say.

Say what you mean, mean what you say.

Kwa mfano ni vitu gani wewe unaona ni busara kudanganya?

Chukulia hata huo mfano uliomuuliza Kongosho kuwa anatokea mtu anakuuliza Nyani Ngabu umewahi kulala na wanawake wangapi ? Hapa asilimia kubwa huwa hawasemi ukweli .

Au chukulia mwanao mdogo anakuuliza hivi dady watoto huwa wanatoka wapi ? Hapa lazima umdanganye vile anaendelea kukua atakutana na ukweli mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
busara ni kusema uwongo?
tutaanza mjadala upya hapa wa nini maana ya busara
The Boss kusema uongo sio busara ila busara ni kuficha ukweli kulingana na mahali ulipo na watu husika !
 
Last edited by a moderator:
Why is it so hard for folks to live up to it?

Is it because we as human beings are inherently dishonest?

"The human heart is deceitul above all things and desperately wicked who can know it?" ...................Jeremiah 17:9
 
Chukulia hata huo mfano uliomuuliza Kongosho kuwa anatokea mtu anakuuliza Nyani Ngabu umewahi kulala na wanawake wangapi ? Hapa asilimia kubwa huwa hawasemi ukweli .

Sasa hapo ukidanganya halafu ije igundulike baadaye kuwa ulidanganya, hiyo ni busara kweli?

Au chukulia mwanao mdogo anakuuliza hivi dady watoto huwa wanatoka wapi ? Hapa lazima umdanganye vile anaendelea kukua atakutana na ukweli mwenyewe!

Hii mimi wala sioni shida kumwelezea mtoto. Nitakachofanya ni kumwelezea katika lugha nyepesi na ambayo siyo descriptive sana.

Na kwenye hili sioni kwa nini mtu umdanganye mwanao ilhali kauliza swali la msingi kabisa.
 
Chukulia hata huo mfano uliomuuliza Kongosho kuwa anatokea mtu anakuuliza Nyani Ngabu umewahi kulala na wanawake wangapi ? Hapa asilimia kubwa huwa hawasemi ukweli .

Hata kama umetembea na watu 20, sioni kwa nini uogope kivuli chako.
Kuliko useme wawili wakati ni 20, bora useme siko tayari kusema kwa sasa

Au chukulia mwanao mdogo anakuuliza hivi dady watoto huwa wanatoka wapi ? Hapa lazima umdanganye vile anaendelea kukua atakutana na ukweli mwenyewe!

Unaweza mwambia ila usimpe details zote kama hauko tayari
Ila watoto ni waelewa kuliko tunavyodhani
Tatizo la kumficha sana anaweza enda ambiwa na wengine usiyotaka ayajue au anakuwa 'misled'
 
Sasa hapo ukidanganya halafu ije igundulike baadaye kuwa ulidanganya, hiyo ni busara kweli?

Hii mimi wala sioni shida kumwelezea mtoto. Nitakachofanya ni kumwelezea katika lugha nyepesi na ambayo siyo descriptive sana.

Na kwenye hili sioni kwa nini mtu umdanganye mwanao ilhali kauliza swali la msingi kabisa.

Inategemea unamwambia nani huo uongo ......kama ni mwenzi wako wa maisha siku akigundua imekula kwako ila kama ni mtu tu haina tatizo

Duuuuuh Nyani Ngabu hapo kwa mtoto ni kweli lakini sio busara lol.....ukae uanze kumwelezea mtoto jambo kubwa namna hiyo huoni kama utakuwa unampandikiza jambo kubwa kuliko umri wake ?
 
Last edited by a moderator:
chukulia mwanao mdogo anakuuliza hivi dady watoto huwa wanatoka wapi ? Hapa lazima umdanganye vile anaendelea kukua atakutana na ukweli mwenyewe!

How dangerous! What if she/he learns it the hard way? Kama wazazi,moja ya kazi yetu ni kuwafunza watoto kuelewa dunia inavokua. Sasa kama kwa mambo ya msingi kama hayo unamdanganya si unaona atakua na false perception kuhusu dunia na anaweza akapata/pana uzito sababu hakujua haya mambo yanakwendaje? na wewe kama mzazi utakua na kosa kubwa la kutomtahadhari na hatari hizo?
Hapa in fact ndio mfano mzuri wa kuonesha kwanini hatutakiwi kudanganya. Tumia lugha ya kitoto, mpe information anayo hitaji kulingana na miaka yake,na kulingana na mazingira yake. Kwa nini umdanganye mtoto?
 
How dangerous! What if she/he learns it the hard way? Kama wazazi,moja ya kazi yetu ni kuwafunza watoto kuelewa dunia inavokua. Sasa kama kwa mambo ya msingi kama hayo unamdanganya si unaona atakua na false perception kuhusu dunia na anaweza akapata/pana uzito sababu hakujua haya mambo yanakwendaje? na wewe kama mzazi utakua na kosa kubwa la kutomtahadhari na hatari hizo?
Hapa in fact ndio mfano mzuri wa kuonesha kwanini hatutakiwi kudanganya. Tumia ligha ya kitoto, mpe information anayo hitaji kulingana na miaka yake,n kulingana na mazingira yake. Kwa nini umdanganye mtoto?
Roulette chukulia ni mwanao wa miaka mitano hivi hapa unatumia lugha gani kumweleza kuwa watoto wanatoka wapi?
Nijuzeni labda mie bado niko nyuma ndio mana sijui. Labda utamwambia huwa wanazaliwa enhe akiuliza wanazaliwaje ? ....bado tu utaendelea kumwambia ?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mfano ni vitu gani wewe unaona ni busara kudanganya hususan katika muktadha wa mapenzi?

watu wengi wanapenda kusema uwongo wa wazi wakifumaniwa, utasikia: 'baby i did it but honestly, it didn't mean anything, it was just a fl^ng....it is you i love, not him/her' what a load of cr^p
 
Mmmmh, labda sijaelewa ila Usiku mrefu.

watu wengi wanapenda kusema uwongo wa wazi, utasikia: 'baby i did it but honestly, it didn't mean anything, it was just a fl^ng....it is you who i love....' what a load of cr^p
 
Kuna msemo unasema, No man has a good enough memory to be a successful liar,
Amini ya hilo lisemwalo ni juu ya msikilizaji relatively matokeo yake yatakua na the same content ya uongo ndani yake. So usijaribu kutafuta ukweli kwa kutumia uongo.
 
Hata kama umetembea na watu 20, sioni kwa nini uogope kivuli chako.
Kuliko useme wawili wakati ni 20, bora useme siko tayari kusema kwa sasa

Unaweza mwambia ila usimpe details zote kama hauko tayari
Ila watoto ni waelewa kuliko tunavyodhani
Tatizo la kumficha sana anaweza enda ambiwa na wengine usiyotaka ayajue au anakuwa 'misled'

Hehehehe nimependa huo msamiati mpya wa Kongosho na Nyani Ngabu 'Sipo tayari kusema kwa sasa' lol

Hapo kwa mtoto sikatai ila swala la umri linahusu sana ! Umri wa mtoto ndio utaamua umwambie ukweli gani kwa wakati gani !
 
Last edited by a moderator:
Miaka mitano mzee mzima, nilidhani miaka 3.

ukitaka kujua watoto tunawa-underestimate angalia wanavyofundishwa shule
Midude mikubw, bora uwe umemwandaa kuvipokea.

Nikupe mfano, mtoto wa miaka 5 na nusu alirudi home na kumwambia mama ake 'am in love na kabinti'
Hapo kama ni wewe lazima upigwe butwaa na kuhangaika
Na watoto ni wepesi sana kuwasoma wazazi wao, mshangao tu mdogo unamfanya asikushirikishe kwa mambo yake kabisa.

Back
Top Bottom