How dangerous! What if she/he learns it the hard way? Kama wazazi,moja ya kazi yetu ni kuwafunza watoto kuelewa dunia inavokua. Sasa kama kwa mambo ya msingi kama hayo unamdanganya si unaona atakua na false perception kuhusu dunia na anaweza akapata/pana uzito sababu hakujua haya mambo yanakwendaje? na wewe kama mzazi utakua na kosa kubwa la kutomtahadhari na hatari hizo?
Hapa in fact ndio mfano mzuri wa kuonesha kwanini hatutakiwi kudanganya. Tumia ligha ya kitoto, mpe information anayo hitaji kulingana na miaka yake,n kulingana na mazingira yake. Kwa nini umdanganye mtoto?