#COVID19 Sayansi inazidi kutokomeza Corona

Hao milioni 1, wapewe tiba ili kusiwepo na wa kufa. Si lazima kuwafungia bali wapewe mwongozo ili wasiwaambukize wengine. Kama ni lazima wafungiwe siku 8 tu watakuwa wamepona (kama wakipewa tiba).
 
Tazama jinga lingine hili kwa hiyo unataka kusemaje?
Sawa kwa ujinga wangu, lakini ningependa kukuelimisha kuwa World health organisation wakisema dawa mfano ya ukimwi au ugonjwa wowote imepatikana ni pale inapokuwa affordable au inaweza kupatikana kwa watu wengi na sio kwa wachache.

Pili huwezi kufanya kitu kwa kitu ambacho huwezi kukimudu.

Mfano ni lockdown, lakini tunaweza kupunguza safari, tunaweza kuvaa Barakoa,tunaweza kunawa mikono mara kwa mara , kwa msingi huo tunaweza kuendelea na Maisha yetu ya kila siku kwa taadhari
 
Sio KWELI.
Labda ukijumlisha na magonjwa mengine
Wewe na mimi hakuna mwenye uhakika kwa sababu hakuna takwimu. Lakini nilikaa Nzega wiki 2 zilizopita, mji mdogo kama ule, kila siku wanasema wamekuwa wanazika watu 4-7. Na karibu wote ni changamoto ya upumuaji.
 
Huyu Mwigulu, kwa kipimo chochote kile, hafai kabisa kuwa kiongozi.
 
Siyo 100m ni zaidi ya bilioni 100. Tulipewa pesa tupeleke kupambana na corona, kuna taarifa za uhakika tulipeleka kwenye uchaguzi, tukawadanganya watu kuwa uchaguzi wa 2020 tumetumia hela zetu!
Hii ndio hela tuliyopewa
Council President Charles Michel committed to provide Tanzania with 27 million euros to combat the effects of COVID
 
Siyo 100m ni zaidi ya bilioni 100. Tulipewa pesa tupeleke kupambana na corona, kuna taarifa za uhakika tulipeleka kwenye uchaguzi, tukawadanganya watu kuwa uchaguzi wa 2020 tumetumia hela zetu!
Ndiomana hatueleweki kumbe pesa ilikuwa allocated kwenye matumizi mengine. Nchi yangu Tanzania nakulilia
 
Mimi ninafanya kazi ya kupita vituo vya afya huko,wilaya kwa wilaya mkoa kwa mkoa

nipo mitaani pia kila siku..hakuna ujinga wako utakao nidanganya mimi hata kidogo.

punguzeni upuuzi wenu
walala hoi wanakufa wengi wapi?

kweni sisi tunaishi nchi nyingine kiasi tusione majirani au ndugu ktk kila siku au baada ya siku mbili kua wanakufa? wanakufa kwenu tu mlio lipwa pesa za kuhadaa watu?au ninyi mnaojaza ujinga watu kwa sababu zenu za kisiasa na ukanda?

wajinga wakubwa nyie
 
Nashukuru kwa comment na ushauri mzuri.

Tuache ushabiki usiokuwa na maana. Kifo cha baba yako, mama yako, kaka yako, hata kama ni mmoja, ni msiba mkubwa kuliko watu 1,000 wasiokuhusu. Waliofiwa wanajua uchungu wa kufiwa. Tusijifanye watu tusiojali kifo kwa sababu tu waliokufa hawakuhusu.

Ninavyomwona Rais akiidharau corona na kusema ni mafua tu, ujumbe ninaupata ni kuwa hajali watu wanaokufa maana siyo wa familia yake. Lakini yeye ni kiongozi, anatakiwa kubeba mioyo na hisia za wote wanaofiwa. Akifa mtoto wake, bado atasema corona, ni mafua tu?
 
Mi naamini jiwe sio mwanasayansi bali ana vyeti vya masomo ya sayansi. Haiwezekani hata yeye mwenyewe aende nje ya profession take. Science is all about data, facts and results
 
Kwani wewe uko wapi, Mbona wewe haujafa toka uambiwe toka mwaka 2020 mwezi Mei Waafrika watakuwa wamekufa wooote au wewe ni Mzungu.

Kila Taifa lina mbinu zake za kupambana na Covid 19, na Siyo kukopi ambayo huna uwezo nayo.

Hebu Fikilia kidogo tungekuwa tumefungiwa ndani Ungekula nini wewe au unadhani Watanzania wote wanaakiba ya Chakula kama wewe
 
Mkuu Acha uoga kula vizuri fanya mazoezi , kwa data nilizonazo vifo vya corona duniani ni 2.3milioni , Kati ya hivyo Afrika kuna vifo 100000 (laki moja ), sijui hii hofu kubwa kiasi hicho unatoa wapi !!
 
Hii ndio hela tuliyopewa
Council President Charles Michel committed to provide Tanzania with 27 million euros to combat the effects of COVID
Hiyo ni ile tuliyopewa na EU pekee.
 
Siyo lazima kuwafungia, tungeweza kuwapima na kuwaweka kwenye management program.
 
Nonsense. Hiyo natural or herd immunity tunayojivunia iko zaidi kwa vijana na siyo wenye umri mkubwa.
Uzembe wetu umeshatugharimu. Tulipokuwa na wagonjwa wacchache tukabweteka na kuendelea kufungulia watalii !! Tuna matatizo ya kisera zaidi acha yale ya kisayansi.
 
Ivemectin dawa ya minyoo ya wanyama?
Dawa hii ilitengenezwa kwaajili ya wanyama. Baada ya kuonesha uwezo wake katika kupambana na Covid 19, inatengenezwa pia kwaajili ya binadamu.

Lakini ukiikosa ya binadamu, hata ya wanyama inafaa. Itabidi ipige sindano badala ya ile ya vidonge.
 
Halafu wanakuja watu hapa wanataka tuwaige Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…