Sayansi na matokeo ya tafiti yanapinga hoja za Dkt. Ananelia Nkya juu ya ukubwa wa bunge na serikali

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Nina mashaka makubwa sana na uelewa wa Dr. Ananelia Nkya kuhusu serikali- muundo na jinsi inavyofanya kazi. Sijui alipataje PhD.

Anajenga hoja kuhusu ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri. Anachosema hakiiendani na tafiti na mapitioya tafiti za anazuoni mbalimbali.

Wanazuoni na tafiti zao wanathibitisha kuwa ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri huamriwa na kiwango cha maendeleo cha nchi husika i.e walioendelea zaidi wanakuwa na bunge na serikali ndongo wakati ambao hawajaendela wanakuwa na bunge na baraza kubwa.

The size of cabinets varies, although most contain around ten to twenty ministers. Researchers have found an inverse correlation between a country's level of development and cabinet size: on average, the more developed a country is, the smaller is its cabinet.
 
Sasa wewe umepiga kwa hoja ipi hapo?
THE UNDECIDERS
By Davide Castelvecchi
May 9th, 2008
Web edition
More decision-makers bring less efficiency
It’s the other Parkinson’s: the progressive degeneration of a committee’s ability to make decisions as the committee adds more members.

English historian Cyril Northcote Parkinson observed in the 1950s that decision making is severely impaired in committees of more than 20 people. Now physicists have shown that the size of a country’s executive cabinet appears to be linked to that country’s overall efficiency, and they have found a possible mathematical explanation.

Stefan Thurner, a physicist at the Medical University of Vienna, and his collaborators looked at the overall efficiency of virtually every government on the globe, as measured by United Nations and World Bank indicators taking into account factors such as literacy, life expectancy and wealth.

The researchers then looked at each country’s executive cabinet. “Cabinets are a good representation of countries,” Thurner says. Common sense would suggest that smaller cabinets would find it easier to reach a consensus. But to get the rest of the country behind a decision, cabinets also have to be large enough to represent of a wide range of constituencies, Thurner says. “Behind every minister there is a set of lobbyists, interest groups and a large bureaucracy.”

On average, the team found, a country’s development was tied to the size of its executive cabinet. For example, Iceland, which the United Nations ranks as the world’s most developed country, has a cabinet of just 12 members; the United States, which ranks 12th, has 17 cabinet members; Myanmar and the Ivory Coast, with 35-strong cabinets, rank 132nd and 166th.

The researchers also tried to figure out exactly how a committee’s size affects its efficiency and to explain Parkinson’s 20-person rule.

The team simulated committees as networks in which each member was a node. Before a vote, each member’s opinion could be influenced by those of its immediate neighbors in the network; adjacent nodes could represent, for example, ministers belonging to the same political party. The simulation found that committees of 10 members or less could almost always reach a consensus (with one mysterious exception for the number 8). For larger committees, the chances of getting to a consensus were lower, and the chances decreased even more rapidly for committees of 20 or more. The results show that Parkinson’s law is not an accident, but “a robust consequence of the opinion-formation model,” Thurner says.

“It’s interesting that they find a correlation,” says Yaneer Bar-Yam of the New England Complex Systems Institute in Cambridge, Mass. However, Bar-Yam points out that the correlation is only true on average. In fact, the data show some important exceptions. For example, Australia, Canada and New Zealand have large cabinets but high efficiency scores.

A committee’s effectiveness, Bar-Yam says, strongly depends on how the committee is organized. “One of the great examples today is Wikipedia,” he says. The online encyclopedia manages to function despite being written and edited by thousands of volunteers because of the way it’s structured, he says.

HOJA YANGU imesimama kwenye tafiti na marejeo- soma hilo hapo juu
 
Kilichoandikwa kwenye huu utafiti na uhalisia wa kwetu ni vitu viwili tofauti, kumbuka Tanzania ndani ya Halmashauri/Wilaya kuna DC/DAS/DED/Mbunge na Mwenyekiti wa council, je hawa wote kazini yao ni nini?

Kuna nchi duniani bunge la budget linakaa siku 100 kujadili budget ya kutumika siku 360 pekee? wenzetu mbunge anaenda bungeni siku akiwa na swali huku wanakuwepo wote kupokea posho hata kama hana swali, je huoni kama ni matumizi mabaya ya fedha za umma?
 
Nina mashaka makubwa sana na uelewa wa Dr. Ananelia Nkya kuhusu serikali- muundo na jinsi inavyofanya kazi. Sijui alipataje PhD.
Anajenga hoja kuhusu ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri. Anachosema hakiiendani na tafiti na mapitioya tafiti za anazuoni mbalimbali.
Wanazuoni na tafiti zao wanathibitisha kuwa ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri huamriwa na kiwango cha maendeleo cha nchi husika i.e walioendelea zaidi wanakuwa na bunge na serikali ndongo wakati ambao hawajaendela wanakuwa na bunge na baraza kubwa
The size of cabinets varies, although most contain around ten to twenty ministers. Researchers have found an inverse correlation between a country's level of development and cabinet size: on average, the more developed a country is, the smaller is its cabinet.
Unachopinga hakieleweki. Unatakiwa kuweka muhtasari wa hoja yako inayopinga hoja ya Nkya na mistari ya hiyo nukuu inayokuunga mkono. Sio kutamka tu kiijumla jumla.

Btw, kama unafikiri hiyo nukuu inakuambia kuwa nchi masikini inastahili kuwa na serikali kubwa zaidi ya nchi zilizoendelea, umepotea.

Kinachosemwa hapo ni kugunduliwa kwa formuła ya hisabati inayothibitisha uhusiano katika ufanisi wa kufikia maamuzi na ukubwa wa chombo/kamati ya maamuzi (baraża la mawaziri).

Kwa ujumla nchi zenye maendeleo makubwa zina baraża dogo (chini ya 20) mfano Iceland (12) na USA (17). Hivyo, zina ufanisi mkubwa wa maamuzi. Nchi masikini zina baraża kubwa na ufanisi mdogo kama Myanmar na ivory coast (35). Tofauti (exception) ni nchi kama Australia, Canada na New Zealand zenye mabaraza makubwa (>20) na maendeleo makubwa. Lakini hizo nchi 3 zina mpangilio bora sana wa maamuzi.

Hivyo, mabaraza makubwa (mawaziri wengi, wabunge wengi) yanadumaza ufanisi katika maamuzi ya maendeleo, yanasababisha gharama kubwa za serikali zisizo za lazima na kushusha kasi ya maendeleo.

Sasa sijui Nkya kakosea wapi?
 
Mama Nkya yuko sahihi kabisa. Tupunguze wabunge wa viti maalumu, tuache kuongeza majimbo ili kupeana ubunge. Ni kuongeza mzigo wa kodi kwa wananchi.

Kinachotakiwa tuimarishe Serikali za mitaa, wagombee watu wenye sifa stahiki. Hawa ni watu wako karibu sana na wananchi, mtaani washughulikie kero zao.

Tuna viongozi lukuki kwenye ngazi ya chini mpaka Mkoa, hawa wote ilitakiwa wasaidie. Ili kuepusha wizara kuwa nyingi, pia viongozi wa juu kuwa wengi. Iwe tu Waziri, Katibu Mkuu, wakurugenzi wa Idara na mameneja.
 
Nina mashaka makubwa sana na uelewa wa Dr. Ananelia Nkya kuhusu serikali- muundo na jinsi inavyofanya kazi. Sijui alipataje PhD.

Anajenga hoja kuhusu ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri. Anachosema hakiiendani na tafiti na mapitioya tafiti za anazuoni mbalimbali.

Wanazuoni na tafiti zao wanathibitisha kuwa ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri huamriwa na kiwango cha maendeleo cha nchi husika i.e walioendelea zaidi wanakuwa na bunge na serikali ndongo wakati ambao hawajaendela wanakuwa na bunge na baraza kubwa.

The size of cabinets varies, although most contain around ten to twenty ministers. Researchers have found an inverse correlation between a country's level of development and cabinet size: on average, the more developed a country is, the smaller is its cabinet.
Mkuu endelea kusifu labda utapata teuzi

IMAGINE bunge Lina watu 300+ bajeti yake kwa mwaka ni 350+B wakati huohuo wizara ya maendeleo ya jamii imepewa 60+B ,MAANA YAKE BAJETI YA BUNGE NI MARA TATU ZAIDI ya bajeti ya maendeleo ya watu Milioni 65,unaona hii ni sawa?
 
Kilichoandikwa kwenye huu utafiti na uhalisia wa kwetu ni vitu viwili tofauti, kumbuka Tanzania ndani ya Halmashauri/Wilaya kuna DC/DAS/DED/Mbunge na Mwenyekiti wa council, je hawa wote kazini yao ni nini?

Kuna nchi duniani bunge la budget linakaa siku 100 kujadili budget ya kutumika siku 360 pekee? wenzetu mbunge anaenda bungeni siku akiwa na swali huku wanakuwepo wote kupokea posho hata kama hana swali, je huoni kama ni matumizi mabaya ya fedha za umma?
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi chochote kabisa!
 
Nina mashaka makubwa sana na uelewa wa Dr. Ananelia Nkya kuhusu serikali- muundo na jinsi inavyofanya kazi. Sijui alipataje PhD.

Anajenga hoja kuhusu ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri. Anachosema hakiiendani na tafiti na mapitioya tafiti za anazuoni mbalimbali.

Wanazuoni na tafiti zao wanathibitisha kuwa ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri huamriwa na kiwango cha maendeleo cha nchi husika i.e walioendelea zaidi wanakuwa na bunge na serikali ndongo wakati ambao hawajaendela wanakuwa na bunge na baraza kubwa.

The size of cabinets varies, although most contain around ten to twenty ministers. Researchers have found an inverse correlation between a country's level of development and cabinet size: on average, the more developed a country is, the smaller is its cabinet.
Unatumia tafiti za Marekani na Australia kwa Tanzania?. Hauko serious .
 
Kilichoandikwa kwenye huu utafiti na uhalisia wa kwetu ni vitu viwili tofauti, kumbuka Tanzania ndani ya Halmashauri/Wilaya kuna DC/DAS/DED/Mbunge na Mwenyekiti wa council, je hawa wote kazini yao ni nini?

Kuna nchi duniani bunge la budget linakaa siku 100 kujadili budget ya kutumika siku 360 pekee? wenzetu mbunge anaenda bungeni siku akiwa na swali huku wanakuwepo wote kupokea posho hata kama hana swali, je huoni kama ni matumizi mabaya ya fedha za umma?
Mkuu utafiti uko sahihi. Mleta mada kauelezea kinyume chake na kupotosha sijui kwa kutoelewa au kwa makusudi?

Ananilea Nkya yuko sahihi kabisa. Utafiti lengo lake ni kuthibitisha kihisabati jinsi nchi zenye mabaraza madogo ya wafanya maamuzi zilivyo na ufanisi mkubwa na kuwa na maendeleo makubwa na kinyume chake kwa nchi zenye mabaraza makubwa (kama zetu hizi).
 
Hawa UWT unadhani wanaelewa hata maana ya neno utafiti?
 
Back
Top Bottom