comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
- Thread starter
- #61
Mkuu niweka mawazo yangu, nimenukuu, na nimeweka ripoti ya tafiti. IN MY EYES this is the academic way of arguing. Nionyeshe wenzako na wewe umefanya nini ukiacha EMPTY AND LOUD NOISES mnazojaza humu ? Nionyeshe.Wewe kweli unaendelea kututhibitishia ukilaza wako ulivyo mkubwa.
Yule anayetuhumu,ndiye anayetakiwa kuweka ushahidi wa tuhuma hizo.
Umenukuu kitu ambacho hata hukielewi.
Unaambiwa ukweli,unakuwa mkali.
Kama una Ph.D kweli, ni zile za Msukuma.
Aliyeelimika hajisifii,bali elimu yake ndiyo itakayompigania.