Uhusiano sio kisababishi.... maana yake it can be a a result of any other factor mfano nchi zenye maendeleo nyingi zina ugatuzi so hauhitaji serikali kubwa, kuna masuala ya separation of power so kama bunge lina nguvu sana na mahakama ipo strong huhitaji wizara nyingi maana mambo mengi yameshagawanywa kwa mihimili mingine, kuna masuala kama nchi nyingi zilizoendelea ni capitalist so kuanzia TANESCO, Babdari, Afya ziko mikononi mwa watu binafsi sasa wizara obvious zinakua ndogo.
Kwahiyo kwenye tafiti ukisema correlation haina mashiko kuliko causation maana ukifanya tafiti ndio ungeweka hizo factor nilizotaja kama control/intervening variables ili kupima uhusiano kati ya maendeleo ya nchi vs ukubwa wa serikali/baraza la mawaziri.
Cc
Mayor Quimby