Sayansi na matokeo ya tafiti yanapinga hoja za Dkt. Ananelia Nkya juu ya ukubwa wa bunge na serikali

Dr Analilea Nkya yupo sahihi. Wewe unampinga ila maandishi yako yanamuunga mkono.
kwamba sisi Tanzania ni nchi iliyoendelea sana hivyo tunahitaji kuwa na serikali na bunge dogo?
 
Kiongozi Comte kajipange upya urudi, naamini wengi humu,nikiwemo mimi Mtemi Mbojo,tumemuelewa vizuri Mama Nkya(PhD)
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa mmemuelewa Mama Nkya(PhD) na sababu ni moja tu- upofu wenu bandia
 
Mkuu kausome tena hasa hii aya
In fact, the data show some important exceptions. For example, Australia, Canada and New Zealand have large cabinets but high efficiency scores.
 
SOMA HII AYA
The researchers then looked at each country’s executive cabinet. “Cabinets are a good representation of countries,” Thurner says. Common sense would suggest that smaller cabinets would find it easier to reach a consensus. But to get the rest of the country behind a decision, cabinets also have to be large enough to represent of a wide range of constituencies, Thurner says. “Behind every minister there is a set of lobbyists, interest groups and a large bureaucracy.”
 
Huku kwetu hoja ya Thurner inafanya kazi vizuri sana- the larger the cabinet the less its efficiency!
Nenda mbele zaidi anasema pia
In fact, the data show some important exceptions. For example, Australia, Canada and New Zealand have large cabinets but high efficiency scores.
 
Hii ndiyo shida inapoanzia. Wewe unge summarise hiyo hoja ya Northcote Parkinson na kutuwekea summary hapa. Kwanini ukopi maneno yote hapa?
 
Hii ndiyo shida inapoanzia. Wewe unge summarise hiyo hoja ya Northcote Parkinson na kutuwekea summary hapa. Kwanini ukopi maneno yote hapa?
Angalia post yangu ya kwanza.
pili- ni vizuri kujifunza kusoma siyo kusoma power point- acha uvivu
tatu- hulka kama zako ndio mwanzo wa wengi wenu kugeuzwa madodoki
nne- mimi ni muumini wa usawa wa binadamu- uelewe wewe kwa uwezo wako siyo utegemee summary ya mjinga mmoja- akikukosesha nawe unapotea
 
Ndiyo maana argument yako inapwaya na huwezi kumuelewa Dr Ananailea Nkya. Jifunze nawe ueleimike, PhD siyo sawa na matako, maana hata wewe unayo
 
Ndiyo maana argument yako inapwaya na huwezi kumuelewa Dr Ananailea Nkya. Jifunze nawe ueleimike, PhD siyo sawa na matako, maana hata wewe unayo
Nadhani unajifunza kutukana- ukifuzu uanzekutukana na tutakutana
Mie siyo limbukeni sina haja ya kujitambulisha kwa kiwango changu cha elimu ya darasani- matendo yangu yanatosha na uhimilivu wangu wa maisha ni ushahidi
 
Fikiria Zanzibar Wana idadi ya watu million moja na nusu na Wana wabunge 80 Dodoma wakati Dar Wana watu million 5 Wana wabunge 14 Ananilea Yuko sahihi
 
Nadhani unajifunza kutukana- ukifuzu uanzekutukana na tutakutana
Mie siyo limbukeni sina haja ya kujitambulisha kwa kiwango changu cha elimu ya darasani- maendo yangu yanatosha na uhimilivu wangu wa maisha ni ushahidi
Unaandika pumba na kubeza PhD ya Dr Ananilea Nkya halafu tukukalie kimya? . Mpinge Dr Ananilea kwa tafiti na siyo kuokoteza nadharia za kibwanyeye za akina Northcote Parkinson za miaka ya 1950. Zimepitwa na wakati hata huko kwao hazitumiki

Halafu eti unanitisha kwa kusema tutakutana. Njoo sasa hivi Ubungo Kibo utanikuta.
 
Acho kucopy and pest ww ni mtanzania kizungu cha nn au ndo kukimbia hoja sabu unajua weng hawajui kizungu.
Na mapoint yako ya kucopy
 
Hoja yako ni mfu kabisa.
Kwamba maskini ndio wanahitaji wabunge wengi na serikali kubwa!
Ulishawaza huo mzigo wa kuwahudumia hao wabunge na hao mawaziri nani anaubeba?

Kwa nchi yetu, tunapaswa kuwa....
1. Bunge lisilozidi wabunge mia moja tu. (Zanzibar wabunge wasiozidi kumi, Tanganyika wabunge wasiopungua tisini, hakuna viti maalum vya wanawake)
2. Majimbo yatengenezwe kulingana na ukubwa wa eneo na idadi ya watu.
3. Baraza la mawaziri lenye mawaziri kumi tu. (Hakuna manaibu waziri, hakuna mbunge wa kuchaguliwa kuwa waziri, rais ateue wabunge wake ambao watakuwa mawaziri).

Tunahitaji kuwa na accountable leaders, sio machawa.
 
Nipo kibo hapa mkuu njoo dagaa dagaa tuutishe umaskini😁😁 na kumkomesha huyu chawa
 
Acho kucopy and pest ww ni mtanzania kizungu cha nn au ndo kukimbia hoja sabu unajua weng hawajui kizungu.
Na mapoint yako ya kucopy
Nawe umeona udhaifu wake siyo? Amekariri hako ka page ndiyo anataka kudhalilisha dada yetu msomi na tafiti yake?? No way
 
We naye ni zero kabisa, unajua tofauti ya neno "Correlation" na "causation". Ni kwamba kuna uhusiano kati ya maendeleo ya nchi na ukubwa wa baraza la mawaziri/bunge ila hakuna mahali wamesema ukubwa wa bunge au wizara UNASABABISHWA na Maendeleo ya nchi.

Mpaka hapa tu nimeona ulivyo mweupe kwenye research ila unadiriki kuhoji na kukejeli PhD ya msomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…