Wewe kweli unaendelea kututhibitishia ukilaza wako ulivyo mkubwa.
Yule anayetuhumu,ndiye anayetakiwa kuweka ushahidi wa tuhuma hizo.
Umenukuu kitu ambacho hata hukielewi.
Unaambiwa ukweli,unakuwa mkali.
Kama una Ph.D kweli, ni zile za Msukuma.
Aliyeelimika hajisifii,bali elimu yake ndiyo itakayompigania.