Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
🤣🤣Jiwahie chupa yako mapemaSawa mufti kwio
Ingia tovuti ya sbc tanzaniaWeka picha alafu lipia tangazo
Hahaha thubut hivyo vitu vina uraibu mbaya sana halafu 500 tu🤣🤣Jiwahie chupa yako mapema
Ni SbcIngia tovuti ya sbs tanzania
😂Hahaha thubut hivyo vitu vina uraibu mbaya sana halafu 500 tu
🙏🙏Ni Sbc
SBS ndiyo kirefu Cha nini? Singida Big Stars?Ingia tovuti ya sbs tanzania
Weka picha tuione mkuuEnergy kwenye chupa ya soda safi kabisa
Inaitwa KOMANDOO, 300Mls bei sh 5,00 /= halafu ni tamu ajabu
Wanywa energy poleni kwa huo moto mnao pelekewa
coca cola nao wataleta, haya makampuni hayana huruma mbele ya fedhaEnergy kwenye chupa ya soda safi kabisa
Inaitwa KOMANDOO, 300Mls bei sh 5,00 /= halafu ni tamu ajabu
Wanywa energy poleni kwa huo moto mnao pelekewa
Sato bridal mask Series
Sasa hivi nilikuwa naishangaa dukani kwa mangi, nilidhani itakuwa ni pombe !Energy kwenye chupa ya soda safi kabisa
Inaitwa KOMANDOO, 300Mls bei sh 5,00 /= halafu ni tamu ajabu
Wanywa energy poleni kwa huo moto mnao pelekewa
🤣🤣🤣Sasa hivi nilikuwa naishangaa dukani kwa mangi, nilidhani itakuwa ni pombe !
Kumbe ni sbs? Basi kweli wanywa energy wanapelekewa moto
Kampuni ya pepsi cola Tanzania