SBS nao wamekuja na Eneryg drinks zao kabambe. Walevi wa Energy kazi mnayo

SBS nao wamekuja na Eneryg drinks zao kabambe. Walevi wa Energy kazi mnayo

coca cola nao wataleta, haya makampuni hayana huruma mbele ya fedha
Mo akiwa anahojiwa na Cnn juzi kati aligusia kuwa mauzo.mengi yanatoka kwenye energy drinks bottles ,
Ni biashara kubwa , na sasa kila kampuni inajitahidi iwe na energy drinks kwenye production line,
 
Back
Top Bottom