Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Sasa mbona mie nikisema mfano kuwa nina uhakika mechi ya leo Yanga itamfunga Madeama mnakuja kusema inaweza kutokea ajali au mabomu na mechi isiishe?Imani yangu niliwekeza kwenye matokeo ya ushindi sio dharula