Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Niliuliza atheism ina mchango gani kwenye jamii kisha nikataka atoe mifano hai iliyo kwenye jamii, badala kueleza kwamba kupitia atheism jamii imefaidika na hiki na kile yeye anakuja kueleza matukio ya mtu tena wa miaka hiyo huko.Kwenye mfano wa scars james rand ame expose uongo.
From that moment watu wameelewa kwamba huyu ni tapeli watu watakua wanaambiana tuwe cautious hivyo kizazi ma kizazi.
Sihitaji dini ili niweze kumsaidia mtu
Akili tu ya kawaida wala sihitaji kuambiwa na kitabu