Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 13,332 Reaction score 7,351 Dec 20, 2023 #221 Scars said: Imani yangu niliwekeza kwenye matokeo ya ushindi sio dharula Click to expand... Sasa mbona mie nikisema mfano kuwa nina uhakika mechi ya leo Yanga itamfunga Madeama mnakuja kusema inaweza kutokea ajali au mabomu na mechi isiishe?
Scars said: Imani yangu niliwekeza kwenye matokeo ya ushindi sio dharula Click to expand... Sasa mbona mie nikisema mfano kuwa nina uhakika mechi ya leo Yanga itamfunga Madeama mnakuja kusema inaweza kutokea ajali au mabomu na mechi isiishe?
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Dec 20, 2023 #222 Watu wote wanaopinga Mungu wanamisongo ya mawazo.
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 13,332 Reaction score 7,351 Dec 20, 2023 #223 Scars said: Application kwa kiswahili ni nini? Click to expand... Mimi nimetaka kujua maana ya neno la kiswahili la maombi.
Scars said: Application kwa kiswahili ni nini? Click to expand... Mimi nimetaka kujua maana ya neno la kiswahili la maombi.
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 20, 2023 #224 Tz mbongo said: Sasa mbona mie nikisema mfano kuwa nina uhakika mechi ya leo Yanga itamfunga Madeama mnakuja kusema inaweza kutokea ajali au mabomu na mechi isiishe? Click to expand... Umetumia uhakika badala ya imani. Uhakika sio neno linalostahili kwenye jambo ambalo bado halijatimilika.
Tz mbongo said: Sasa mbona mie nikisema mfano kuwa nina uhakika mechi ya leo Yanga itamfunga Madeama mnakuja kusema inaweza kutokea ajali au mabomu na mechi isiishe? Click to expand... Umetumia uhakika badala ya imani. Uhakika sio neno linalostahili kwenye jambo ambalo bado halijatimilika.
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 13,332 Reaction score 7,351 Dec 21, 2023 #225 Scars said: Umetumia uhakika badala ya imani. Uhakika sio neno linalostahili kwenye jambo ambalo bado halijatimilika. Click to expand... Kutimilika vp?
Scars said: Umetumia uhakika badala ya imani. Uhakika sio neno linalostahili kwenye jambo ambalo bado halijatimilika. Click to expand... Kutimilika vp?