Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
Msomi maarufu wa Kenya Profesa Ali Alamin Mazrui, amekufa leo asubuhi Octoba 13, 2014 jijini New York, Marekani akiwa na umri wa miaka 81.
Mazrui, alikuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Binghamton jijini New York.
Enzi za marehemu
Ameandika vitabu 30 ambavyo vimezungumzia masuala ya uongozi na siasa za Afrika na Kimataifa pamoja na masomo ya kiislamu. Je, unamkumbuka vipi msomi huyo?
R.I.P. Prof. will always remember your encounters with Prof. Walter Rodney when UDSM was a real University; :" Africa is a female continent,it can easily be penetrated".
Africa has lost one of the greatest Pan Africanists this century has ever seen.I will remember him with this famous quotation: " the myth of male superiority and female inferiority is a fact of everyday life. It is part and parcel of African life. This very myth has contributed to the oppression and domination of an african woman by man to the present day. Her all upbringing has been geared towards ensuring that she turns out to be a diligent worker, an obedient and an untiring mistress to the whims of her Lord, the man! This must stop." Ali Mazrui, the life that lived!
ndio nini hii sasa! vitu havina uhusiano ili mradi tu kukejeli nchi yako. mazrui ni mkenya tena alikua anaienzi tanzania na sera zake. alihamia marekani kutafuta maisha. hapa mbona great critical minds walikuepo wengi tu. sema siku hizi wapo vichwamaji kama kina lissu na mnyika baadhi ya vijana wanadhani ndio great critical thinkers.Rest in Peace Prof. Nimetumia sana maandiko yako katika elimu yangu. Nilijiuliza ni kwa nini watu wenye akili namna hii wanazitumia nchi nyingine na si Tanzania. Nikagundua critical minds huwa hazitakiwi Tanzania kwa kuwa ni challenge kwa watawala.
The Late Prof. Mazrui
akili ya mbayuwayu changanya na yako. kwani kila muungano wa nchi mzuri ni lazima nchi zingine kujiunga?Profesa huyu keshawahi kusema kama muungano wa Tanganyika na Zanzibar si muungano bali ni Zanzibar kumezwa na Tanganyika.
Na ni huyu huyu alisema pia kama huu muungano kama ni mzuri mbona hakuna hata nchi moja nyengine iliyotamani kujiunga.
Allah amlaze pema, Amin.
Poleni wafiwa, duniani sisi sote ni wapita njia ingawa tunako elekea ni chaguo lako wakati ukiwa hai. Wengine wanaenda kwa Mungu na wengio kwa mungu. Angaliwa wekundu wa herufi kubwa na ndogo na ujipime unakochagua kwenda.
Huu ni ujumbe kwa tulio hai hapa duniani.