Kuna mtu alisoma mpaka akapata PhD Japan, kwa scholarship.Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari yangu iliniongoza hadi barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam, nikiwa na matumaini makubwa, ni huku ndipo yalipo makazi ya Balozi wa Japani nchini Tanzania.
View attachment 3581073
Nilipofika getini, nilipokelewa kwa upole na mlinzi aliyekuwa tayari kunisaidia. Lakini hali ilibadilika ghafla ndani ya dakika kama tano baada ya kamama kamoja kuibuka na kumkemea mlinzi kwa ukali. Nilipoingia ndani, badala ya kupata mwongozo, nilikutana na maneno yaliyovunja moyo—kwamba hakuna haja ya kwenda Japan, na elimu ya hapa inatosha. Zaidi ya hayo, niliambiwa deadline tayari imepita. Kwamba deadline ni mwezi Machi wakati tangazo limetoka Aprili, MAAJABU HAYA.
View attachment 3581075
Nilitoka nje nikiwa na maswali mengi kuliko majibu. Je, taarifa hizi ni sahihi au ni kizingiti kisichoonekana kwa vijana wenye ndoto? Nje, nilikutana na kijana Mjapani aliyeshangaa kwa nini Waafrika wachache huomba ufadhili huo. Nilimjibu kwa huzuni—KWA AFRIKA, WATU NI CONNECTIONNA CONNECTION NI WATU.
View attachment 3581073
Nilitoka mule ndani nimechukia ile mbaya, Waafrika tunapeana wakati mgumu wenyewe, hapo hela za Ufadhili sio zao ila unakuwa kipele hivyo, je ukiweka jero kwenye hizo pesa itakuwaje?
Daaaaaah, wengine tunazililia, wengine mnazipata kiurahisi tu. Any ways naomba msaada wako Mkuu Nina nia kweli lakini mambo bado.Daah kweli kweny miti hakuna wajenz. Nilipewa hio scholarship ila nikakataa kwenda kusoma kumbe kuna watu wanaipigania hivi. Ujipange kufanya mtihan wa kijapan japo hujawahi kukiona. Mimi nilipewa direct kutoka Japan cz kuna watu najuana nao kule hivyo walinichukulia admission na recommendation ya prof wa kule alafu huyo mama hapo ubalozin alikua anajuana sana na mzee wangu ila mimi nikakataa mambo ya kusomasoma. Mwisho, wana package nzuri sana kama ukipata wanalipa vzr na pia Japan gharama za maisha zipo chini sana.
Japan ipi maisha chini mkuu?Daah kweli kweny miti hakuna wajenz. Nilipewa hio scholarship ila nikakataa kwenda kusoma kumbe kuna watu wanaipigania hivi. Ujipange kufanya mtihan wa kijapan japo hujawahi kukiona. Mimi nilipewa direct kutoka Japan cz kuna watu najuana nao kule hivyo walinichukulia admission na recommendation ya prof wa kule alafu huyo mama hapo ubalozin alikua anajuana sana na mzee wangu ila mimi nikakataa mambo ya kusomasoma. Mwisho, wana package nzuri sana kama ukipata wanalipa vzr na pia Japan gharama za maisha zipo chini sana.
Kabsa! Yaani mlinzi ndio ana moyo wa kusaidia kuliko waliopo ofisiniWabongo tuna roho mbaya, kujiona na majivuno, mtu ukimkuta ofisink kwake anakunyanyapaa, anakuringiiia.. tena hawa waajiriwa wa serikalini, sijui halmashauri, polisi huko wanajiona sana wakiwa ofisini.
Ni wachache sana wenye utu
Ukifika umevaa simple kuna heshima unakosa
Kuna mmoja ni Lecturer hapo UDSM yeys anasema mitihani yao ni migumu sana na utatakiwa kufanya mitihani miwili, mtihani wa lugha ya Kijapani na Lugha ya KiingerezaHiyo ya matangazo ya fursa kuwafikia walengwa wakati muda wa Maombi umekwisha niliwahi Kuona sehemu flani hivi. Tangazo la kusoma mbele au fursa ilisema deadline ni tarehe 20 April hiyo barua itawafikia Tarehe 20 Mey
Sasa mnaenda kusoma scholarship , halafu mbona hamna kipya mnaleta kwenu ..Hamna ugunduzi mnafanyavichwa butu.Wamatumbi wengi ni aina ya watu kama Tanganian , wanatamani wote mbaki umatumbini mle vumbi
Cc The Icebreaker
Wewe nae kiazi , umejuaje hakuna kipya au unataka tuvitaje humu?Sasa mnaenda kusoma scholarship , halafu mbona hamna kipya mnaleta kwenu ..Hamna ugunduzi mnafanyavichwa butu.
Ona unalia lia mtmumwa , kwani wewe ni mdogo kiasi gani wakati tangu miaka ya 90 watu wameenda scholarship .Wewe nae kiazi , umejuaje hakuna kipya au unataka tuvitaje humu?
Najadiliana na mpumbavu mmoja kumbe, hata asiye jua maisha 🚮Ona unalia lia mtmumwa , kwani wewe ni mdogo kiasi gani wakati tangu miaka ya 90 watu wameenda scholarship .
Naona unaniwinda ila utasanda , maana hauna hoja .. Hizo scholarship watu wameanza kwenda tangu wewe unafuta kamasi na ngumi . kuna maajabu gani?Najadiliana na mpumbavu mmoja kumbe, hata asiye jua maisha 🚮