5439
JF-Expert Member
- Dec 25, 2025
- 373
- 870
Humu waandishi wachache sanaa, bingwa wanguMimi naeleweka vizuri tu , ila wewe uandishi wako haueleweki
Humu waandishi wachache sanaa, bingwa wanguMimi naeleweka vizuri tu , ila wewe uandishi wako haueleweki
Kweli Bwashee, ila nimekusoma.Humu waandishi wachache sanaa, bingwa wangu
Ht sio miPitia hata Duolingo Mkuu! Kikubwa ni kuwa umekwepa tozo tu! Foundation year itakuhusu ukiwa Tokyo
Wanakutisha tu hao usiwasikilize…sitaki kuongea sana maana ninaficha identity yangu…we nenda kasome Japan au Korea…mwaka wa kusoma lugha ni kawaida na unafundishwa from basics, na ma lecture wengi wanamix lugha…Jmn sa kijapan nakuwa nimekijulia wqpi tena??
Duh
Waambie hao washamba wasinitaje kwenye nyuzi zenu.Unatuharibia uzi
ThanxWanakutisha tu hao usiwasikilize…sitaki kuongea sana maana ninaficha identity yangu…we nenda kasome Japan au Korea…mwaka wa kusoma lugha ni kawaida na unafundishwa from basics, na ma lecture wengi wanamix lugha…
Mambo mengine unaacha tu yapiteWaambie hao washamba wasinitaje kwenye nyuzi zenu.
sasa si haya maombi hapo embassy wanaopokea maombi ni hao jamaa wabongo watafelisha tena wenzao sasa ? au ni kujaribu tuuMungu ni mwema leo nimefanikiwa kutuma applications mbili bhana! Ila Posta wanadai kuwa njia hii ya kutuma kwa EMS ndio bora zaidi maana mchakato wake watu weusi hawatahusika kabsa
Mkuu kusafiri sio ushamba wazungu wakina Dr Livingstone walitupiga gap kwa sababu ya safari na kuijua Dunia baadae ndio wakashauri ili kututawala maana ya uzalendo sio kuishi Tanzania mkuu...exposure inafungua sana watu kama hauna exposure za nje unakua vitu vingi utasimuliwa mpaka mwisho wako na vitu vidogo tu..Mimi ni mzalendo sio mshamba wa kwenda kushangaa maghorofa na kukua tu nchi za watu.
Soma kwanza , kama kusafiri hata leo niko safarini ..Mimi najua wapi pakusettle sio kushangaa eti maghorofa ... Kumbuka hakuna nchi yenye matajiri wengi kuliko maskini . Hapo Dar t asilimia 80% ya watu wanapoteza muda , wachache ndio wana maisha mazuri .Mkuu kusafiri sio ushamba wazungu wakina Dr Livingstone walitupiga gap kwa sababu ya safari na kuijua Dunia baadae ndio wakashauri ili kututawala maana ya uzalendo sio kuishi Tanzania mkuu...exposure inafungua sana watu kama hauna exposure za nje unakua vitu vingi utasimuliwa mpaka mwisho wako na vitu vidogo tu..
Nadhani ungekua unatoa hoja tu bila kuwatukana wanaojitafuta mkuu..Soma kwanza , kama kusafiri hata leo niko safarini ..Mimi najua wapi pakusettle sio kushangaa eti maghorofa ... Kumbuka hakuna nchi yenye matajiri wengi kuliko maskini . Hapo Dar t asilimia 80% ya watu wanapoteza muda , wachache ndio wana maisha mazuri .
Mwingine anaacha kuchimba madini kwao chunya , anaenda kuuza mishikaki Dar . Hii ni mentality ya kishamba.
Sasa kama unashindwa kuchimba kwenu halafu unaenda kuishi kwa wasiwasi south afr ulifikiria ukifa tu south unapata kazi , ukifika tu Dar unapata kazi ? Wachimbaji wadogo hata Tanga huko kilindi na Handeni watu wanachimba ....Hakuna fursa rahisi ya kupewa tu , tena ugenini labda ufanye kuwa na connections kabla ya kufika .Nadhani ungekua unatoa hoja tu bila kuwatukana wanaojitafuta mkuu..
Mtu hawezi kukaa chunya achimbe madini kirahisi kama unavyosema madini sio mahindi yale kwamba unatakiwa uwe na shamba na jembe mbegu unaweza kukopa nadhani toa mifano yenye uhalisia na pia punguza kutukana na kuwadharau wanaojitafuta.
Sawa Mkuu! Nimekuelewa sikutakiwa kuonesha ujinga wangu ubalozini!Watu wengi ni wajinga sana, hakukuwa na haja kwenda ubalozini ni kuonyesha ujinga wako ulikofikia.
Wanufaika wa MEXT mwaka Jana tayari wameenda wengine ni mwezi wa 9 mwaka huu.
Haihitaji connection Wala serikali ya Tanzania haihusiki kabisa, tangazo linapatikana katika website ya balozi wa Japan Tanzania. Nafasi nadhani ni 3 tu kwa Masters na PhD.
Waliojaribu mwaka Jana wako kwenye nafasi nzuri zaidi kupata mwaka ujao. Hizo nafasi 3 zinaombwaga na mamia kwa maelfu ya wanafunzi, kusema watu wamewahi kukosekana ni stori za vijiweni. China inachukua zaidi ya watanzania 200 kila mwaka na watanzania wanaotuma maombi ni maelfu.