Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

Hata vyuo vya hapa Tanzania watu wanafanya bunifu nyingi sana lakini hazifiki popote
Nchi yenyewe inaonekana haijaweka kipaumbele kwenye ubunifu so ni ngumu watu binafsi kufanikiwa wenyewe
Acha watu wakasome nje kujijenga, ikiwezekana wakafanyie kazi nchi zinazojitambua waishi maisha mazuri

Mwache afikiri kil anae som nje anakuja kufanya kazi na serikali ya mama 😁.

Watu wanataka kua international recognized, kazi unafanya popote pale
 
MEXT haijawahi kuwa ya watu wachache kwa connections, ni ya watu wanaojituma kwenye process, paperwork, research na timing.
 
Walikuwekea kauzibe gani?
Hapa sasa ndio unaanza kueleweka… ila ndio maana sijaelezea hapo ndio maana nikasema baada ya mahojiano mengi, wakashindwa na hoja na hawajanikuta na kithibit chochote kama akili zao mbaya zilivyokuwa zinawaza.. ndio wakajifanya kwann? Nimevaa zingland
 
Mimi naeleweka vizuri tu , ila wewe uandishi wako haueleweki
 
Back
Top Bottom