Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

Hakuna msambaa mjinga mjinga kama wewe , unataka uone nyumba ili iweje ?

Kumbe wewe ni wakukusaidia upate uelewa wa mambo .


Ukiona mtu anatoka nchini kwake kwenda nchi nyingine kupambana na maisha ,ujue kabisa sio kwamba sio mzalendo, ni mchakato tu wakutafuta fursa mbalimbali.

Unaweza ukabaki bongo na ukafanikiwa tu na sio kwamba kubaki kwako wewe ni mzalendo sana tofauti na yule anayetoka.

Kingine hii mipaka ya mataifa imewekwa na wakoloni tu , umezaliwa na dunia ipo free kwako popote unaweza pata riziki yako tu.
Unaongea ujinga , bado hujajitambua .. Nani asiyesafiri ? au bado mshamba wa maghorofa ..Nina biashara na naweza kufanya business kokote ila naishi home . Nilishakuwa mjinga kama wewe , nilishapita miaka hiyo , sasa nimesettle .

Mimi nafaa kuongea na baba yako sio wewe kifaranga.
 
Research centre na facilities za ubunifu wa chanjo ziko wapi Tanzania?
Kwa hiyo tangu muanza kusoma hajagundua , mmesoma mpaka watu wamekuwa wahadhili wa vyuo .. ulitaka nani aombe mradi , mbona makabrasha mnayo ?
 
Unaongea ujinga , bado hujajitambua .. Nani asiyesafiri ? au bado mshamba wa maghorofa ..Nina biashara na naweza kufanya business kokote ila naishi home . Nilishakuwa mjinga kama wewe , nilishapita miaka hiyo , sasa nimesettle .

Mimi nafaa kuongea na baba yako sio wewe kifaranga.
Unamiliki biashara gani boss😅
 
Soma vizuri hiyo mzee.. uelewe wewe umesoma kwenye singland tu hapo, utafeli wewe swali umeambiwa usijibu wewe unajibu.. utapata hamna
Walikuwekea kauzibe gani?
 
Kijana tafuta kipato , utakuwa mtumwa kabla bado hujajipata meza hii haikuhusu .
Wewe mjinga kweli , kuna maswali yako unauliza nakuona mpumbavu tu, eti onyesha nyumba


Unaelewa maana ya uzalendo?
 
Wewe mjinga kweli , kuna maswali yako unauliza nakuona mpumbavu tu, eti onyesha nyumba


Unaelewa maana ya uzalendo?
Nimekuambia hauna nyumba huko hata baba yako nje hana nyumba , mnashangaa maghorofa .
 
Nimekuambia hauna nyumba huko hata baba yako nje hana nyumba , mnashangaa maghorofa .
Sawa sina nyumba nashangaa maghorofa .

Aliye kuambia kutafuta maisha ukiwa bongo ni uzalendo zaidi ya yule anaetoka ni nan? Elezea kwa undani , nishajua wewe ni mgonjwa achana na personal attack
 
Kwa hiyo tangu muanza kusoma hajagundua , mmesoma mpaka watu wamekuwa wahadhili wa vyuo .. ulitaka nani aombe mradi , mbona makabrasha mnayo ?
Mi nadhani unafanya oversimplification kuliko uhalisia
Project unazotaka kuziona wewe, mfano tuongelee hii ya chanjo, inahitaji vitu vikuu kama vinne hivi
  • Uwekezaji mkubwa sana kwenye Biotechnology na Research
  • Miundombinu ya kisasa ya maabara
  • Wataalamu wengi waliobobea
  • Mabilioni ya pesa za R&D

Kwa hiyo unapolaumu kuwa watu wanaenda kusoma Ughaibuni na hawaleti bunifu nyumbani unapaswa uelewe, Mtanzania akienda kusoma let's say Japan akaelimika vizuri hapo unakuwa umetengeneza mtaalamu, ambayo ni point moja tu kati ya hivyo vinne nilivyotaja. Sasa hata usomeshe wataalamu wangapi kama hauna hayo mengine usitegemee ubunifu wa chanjo nyumbani kwako
That's why ni easy mtu akasoma vyuo vya nje akawa mtaalamu, na akaenda kuonesha kipaji chake kwenye nchi zenye hayo mambo manne complete, which is still good for him, kwa sababu hiyo nchi itampa maisha bora kuliko Tanzania
Tanzania ikitaka ubunifu kama huo unaotaka wewe inapaswa ifanye investment kwanza kwenye R&D kabla ya kuanza kutupia lawama wataalamu
 
Sawa sina nyumba nashangaa maghorofa .

Aliye kuambia kutafuta maisha ukiwa bongo ni uzalendo zaidi ya yule anaetoka ni nan? Elezea kwa undani , nishajua wewe ni mgonjwa achana na personal attack
Aliyekudanga kwenda kutafuta maisha nchi za watu ndiyo upambanaji ni nan? ujinga wa kurithi tatizo
 
Mi nadhani unafanya oversimplification kuliko uhalisia
Project unazotaka kuziona wewe, mfano tuongelee hii ya chanjo, inahitaji vitu vikuu kama vinne hivi
  • Uwekezaji mkubwa sana kwenye Biotechnology na Research
  • Miundombinu ya kisasa ya maabara
  • Wataalamu wengi waliobobea
  • Mabilioni ya pesa za R&D

Kwa hiyo unapolaumu kuwa watu wanaenda kusoma Ughaibuni na hawaleti bunifu nyumbani unapaswa uelewe, Mtanzania akienda kusoma let's say Japan akaelimika vizuri hapo unakuwa umetengeneza mtaalamu, ambayo ni point moja tu kati ya hivyo vinne nilivyotaja. Sasa hata usomeshe wataalamu wangapi kama hauna hayo mengine usitegemee ubunifu wa chanjo nyumbani kwako
That's why ni easy mtu akasoma vyuo vya nje akawa mtaalamu, na akaenda kuonesha kipaji chake kwenye nchi zenye hayo mambo manne complete, which is still good for him, mwa sababu hiyo nchi itampa maisha bora kuliko Tanzania
Tanzania ikitaka ubunifu kama huo unaotaka wewez inapaswa ifanye investment kwanza kwenye R&D kabla ya kuanza kutupia lawama wataalamu
kwa hiyo watanzania walioenda kusoma nje? wewe una umri gani kwanza?
 
Pole sana…sio waafrika wote wana roho hiyo….Tanzania kuna kitu hakipo sawa. Pole sana mkuu.

Anyway, application bado iko open ya mwaka 2027, imeanza April 2026 hadi May 2026 kutegemea na program unayotaka kusoma.

Pitia hiyo link chini, documents zote tumia hyo address unayoona hapo, na kuepuka usumbufu tumia shirika la posta kupitia huduma yao ya express, ni nafuu ndani ya nchi, wataipeleka na track namba utapewa kufuatilia imefika wap na hii inakuepusha kukutaka na waswahili getini.

Asante sn
Ika nashindwa ku copy jmn
 
Ina uhusiano gani na mada?
Screenshot_2026-05-04_150126.jpg
 
Back
Top Bottom