Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

Taja ubunifu uliokuwa unautaka wewe hao wanafunzi wanaosoma nje ya nchi waulete nyumbani
Maana hapa ndio unazidi kuprove kuwa Tanzania haina uhitaji wa huo ubunifu coz ni useles kwa nchi ambayo haijali chochote
Haah , si utaje hizo projeccts . Nataka nikuifundishe kitu, hata uende hizo za ada mamilion na Tech hawana kipya .

Projects hizi hautaji ,😛😀
 
Narudia tena , tembea duniani uone wasambaa wenzako wa mkoa mmoja wanavyosaka maisha na popote wapo , watu wenye asili ya kiarabu hapo Tanga , wanaofuatia kwa maendeleo ni wasambaa kwa sababu ya kuwa wanyumbulifu kuzikimbilia fursa popote, hao wengine hapo Tanga wengi wao hakuna kitu kwa sababu ya kujifungia ndani tu na kusubiria vigoma vya mdumange na baikoko
kwa hiyo wale wanaoishi lushoto ni matako yako ? Wasambaa wa Tanga mjini , Muheza , korogwe ni matako yako ?

Kijana kama haujaona fursa nenda huko utumwani , pakitokea tatizo msipige kelele.. umakariri upambanaji ni kukimbi kwenu.
 
Umesoma nilicho kiandika vizuri ,? Au una tetemeka? , hakuna msambaa mwenye akili mbovu kama ya kwako , wasambaa wanapambana na popote wanafika , ndio maana kwa makabila ya Tanga wasambaa wana maendeleo zaidi kuliko hao ambao hata kutoka ni shinda wao ni kucheza baikoko tu
 
Watu weusi sisi tuna roho mbaya sanaa, sisi kwa sisi tunauana huko south africa, wenyeji hawataki wageni na kiasili ni wenzao

Natoka zangu south mwaka jana mwezi wa 8 mwishoni natumia hii njia ya zimbambwe, uwezi amini boda zote nimepita kwa amani tu ila nafika hapo tanzania

Migration anaanza kuniwekea uzito nikajiuliza uzito si ningeekewa zimbwabwe, zambia au boda ya south Africa yenyewe

Uzuri yulee migration alikuwa nimeshavurugwa zangu nawaza tu kufika nyumbani niwakumbatie wazazi wangu tu na tule wote matunda niliyoyachumba kiwanja

Dk ya mwisho kaona aniwezi hata ki majadiliano akanambia unakujaje hapa umevaa singland nikamwambia joto nijazoea huko nilipotoka ni baridi sanaa, akanambia siwezi kukugongea stump mpaka uvae nguo nzuri.. nikasikitika zangu

Nikapiga hatua moja kuna jamaa alivaa kot kubwa nikamuomba akanipa, nikarudi mda ule ule na ni pale pale tu akanigongea, nikabua kot pale pale nikampa mwenyewe alioniazima

Kutusua tanzania ni vigumu sanaa tuna roho mbaya sanaa sisi watu weusi
 
Haah , si utaje hizo projeccts . Nataka nikuifundishe kitu, hata uende hizo za ada mamilion na Tech hawana kipya .

Projects hizi hautaji ,😛😀
Project zipo nyingi sana naweza kukuonesha and yes sikutajii kwa sababu najua unachotaka kufanya
 
Watu weusi sisi tuna roho mbaya sanaa, sisi kwa sisi tunauana huko south africa, wenyeji hawataki wageni na kiasili ni wenzao

Natoka zangu south mwaka jana mwezi wa 8 mwishoni natumia hii njia ya zimbambwe, uwezi amini boda zote nimepita kwa amani tu ila nafika hapo tanzania

Migration anaanza kuniwekea uzito nikajiuliza uzito si ningeekewa zimbwabwe, zambia au boda ya south Africa yenyewe

Uzuri yulee migration alikuwa nimeshavurugwa zangu nawaza tu kufika nyumbani niwakumbatie wazazi wangu tu na tule wote matunda niliyoyachumba kiwanja

Dk ya mwisho kaona aniwezi hata ki majadiliano akanambia unakujaje hapa umevaa singland nikamwambia joto nijazoea huko nilipotoka ni baridi sanaa, akanambia siwezi kukugongea stump mpaka uvae nguo nzuri.. nikasikitika zangu

Nikapiga hatua moja kuna jamaa alivaa kot kubwa nikamuomba akanipa, nikarudi mda ule ule na ni pale pale tu akanigongea, nikabua kot pale pale nikampa mwenyewe alioniazima

Kutusua tanzania ni vigumu sanaa tuna roho mbaya sanaa sisi watu weusi
Sasa yeye kukuambia hawaruhusu kuvaa singland , kumesababisha vipi kutusua Tanzania iwe vigumu?

Mbona kama huo ni utaratibu wa mahali husuka tu
 
Umesoma nilicho kiandika vizuri ,? Au una tetemeka? , hakuna msambaa mwenye akili mbovu kama ya kwako , wasambaa wanapambana na popote wanafika , ndio maana kwa makabila ya Tanga wasambaa wana maendeleo zaidi kuliko hao ambao hata kutoka ni shinda wao ni kucheza baikoko tu
Unalialia mkimbizi , wakipewa bandari wawekezaji mnaanza kulia ..Kichwa chenyewe ndio hico , sasa nioneshe nyumba yako huko ughaibuni zaidi ya kupanga na kukua tu .:PepeSerious:
 
Project zipo nyingi sana naweza kukuonesha and yes sikutajii kwa sababu najua unachotaka kufanya
Ile MSD tu dawa wanaagiza , nakupa hili tu ila wasomi wa medcine wapo , kuna NIMR na taasisi nyingi za pharmacy kiko wapi ?
 
Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari yangu iliniongoza hadi barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam, nikiwa na matumaini makubwa, ni huku ndipo yalipo makazi ya Balozi wa Japani nchini Tanzania.
View attachment 3581073
Nilipofika getini, nilipokelewa kwa upole na mlinzi aliyekuwa tayari kunisaidia. Lakini hali ilibadilika ghafla ndani ya dakika kama tano baada ya kamama kamoja kuibuka na kumkemea mlinzi kwa ukali. Nilipoingia ndani, badala ya kupata mwongozo, nilikutana na maneno yaliyovunja moyo—kwamba hakuna haja ya kwenda Japan, na elimu ya hapa inatosha. Zaidi ya hayo, niliambiwa deadline tayari imepita. Kwamba deadline ni mwezi Machi wakati tangazo limetoka Aprili, MAAJABU HAYA.
View attachment 3581075
Nilitoka nje nikiwa na maswali mengi kuliko majibu. Je, taarifa hizi ni sahihi au ni kizingiti kisichoonekana kwa vijana wenye ndoto? Nje, nilikutana na kijana Mjapani aliyeshangaa kwa nini Waafrika wachache huomba ufadhili huo. Nilimjibu kwa huzuni—KWA AFRIKA, WATU NI CONNECTIONNA CONNECTION NI WATU.
View attachment 3581073
Nilitoka mule ndani nimechukia ile mbaya, Waafrika tunapeana wakati mgumu wenyewe, hapo hela za Ufadhili sio zao ila unakuwa kipele hivyo, je ukiweka jero kwenye hizo pesa itakuwaje?
Adui wa mtu, hutoka nyumbani mwake.
 
Nakumbuka watoto wote walioenda US na UK kuanzia miaka ya 90 kule walipigiwa mapande na wazazi wao waliokuwa mawizarani, sababu wengi nawajua ni walikuwa vilaza, sijui miaka hii kama bado kuna hio michongo
 
Unalialia mkimbizi , wakipewa bandari wawekezaji mnaanza kulia ..Kichwa chenyewe ndio hico , sasa nioneshe nyumba yako huko ughaibuni zaidi ya kupanga na kukua tu .:PepeSerious:
Nyumba? Swali gani hili una uliza ? Wewe ni msambaa wa wapi ?
 
Msambaa wa Tanga , wewe nionese nyumba yako huko ughaibuni zaidi ya kukua tu na kupanga ..Umri huo bado mpumbavu unashangaa maghorofa , pesa ukipata ni kulipia bili .

Hao maghorofa wamejnga wenye nchi n, wewe hauna hadhi ya kuzikwa huko .
 
Kwa hiyo kuzikwa Ughaibuni ni hadhi. Na bado uko busy unaita watu watumwa
 
Dogo jibu swali hapo . nioneshe hizo projects ..Nimekupa mfanyo hapa bongo madawa 80% yanatoka nje.
Nimeshakuambia sikutajii
Halafu madawa mengi tunayotumia yanahitaji uwekezaji, sio ubunifu
 
Msambaa wa Tanga , wewe nionese nyumba yako huko ughaibuni zaidi ya kukua tu na kupanga ..Umri huo bado mpumbavu unashangaa maghorofa , pesa ukipata ni kulipia bili .

Hao maghorofa wamejnga wenye nchi n, wewe hauna hadhi ya kuzikwa huko .
Hakuna msambaa mjinga mjinga kama wewe , unataka uone nyumba ili iweje ?

Kumbe wewe ni wakukusaidia upate uelewa wa mambo .

Ukiona mtu anatoka nchini kwake kwenda nchi nyingine kupambana na maisha ,ujue kabisa sio kwamba sio mzalendo, ni mchakato tu wakutafuta fursa mbalimbali.

Unaweza ukabaki bongo na ukafanikiwa tu na sio kwamba kubaki kwako wewe ni mzalendo sana tofauti na yule anayetoka.

Kingine hii mipaka ya mataifa imewekwa na wakoloni tu , umezaliwa na dunia ipo free kwako popote unaweza pata riziki yako tu.
 
Sasa yeye kukuambia hawaruhusu kuvaa singland , kumesababisha vipi kutusua Tanzania iwe vigumu?

Mbona kama huo ni utaratibu wa mahali husuka tu
Soma vizuri hiyo mzee.. uelewe wewe umesoma kwenye singland tu hapo, utafeli wewe swali umeambiwa usijibu wewe unajibu.. utapata hamna
 
Back
Top Bottom