Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

Naona unaniwinda ila utasanda , maana hauna hoja .. Hizo scholarship watu wameanza kwenda tangu wewe unafuta kamasi na ngumi . kuna maajabu gani?
Nikuwinde? wewe mpumbavu kweli , bado unaakili za maziwa ya mama ni fake I'd tu imekufanya tujadiliane hapa .
 
Nikuwinde? wewe mpumbavu kweli , bado unaakili za maziwa ya mama ni fake I'd tu imekufanya tujadiliane hapa .
We mtumwa huko ulipo hauna hata thamani ya kuzikwa huko kama mbwa wa huko , hauwezi kuzikwa huko . Ukifa unaleta migombani kule 😀 😀 .

Hauna hoja , kama scholarship nenda kasoma ili ukaajiriwe , kama ukiwaona hata viongozi wengi serikalini leo wamesoma nje . WHAT ARE THE POSITIVE IMPACTS THEY BROUGHT TO US AS A NATION RATHER THAN EXCESSIVE BORROWING AND INTENSIVE IMPORTING ?

Mimi sio mjinga kama wwe , unatakiwa utulie ujifunz kwangu ..Mimi ni mzalendo , mswahili haswaa!
 
Soma ulicho andika jipige kofi sema mimi ni kati ya wasambaa wajinga sana, hapo Tanga wapumbavu kama wewe ni wachache sana
 
Soma ulicho andika jipige kofi sema mimi ni kati ya wasambaa wajinga sana, hapo Tanga wapumbavu kama wewe ni wachache sana
Mimi ni ishara ya wewe kuwa mjinga , nimezliwa najua ..Wewe ni mtumwa , hauna thamani zaidi ya kukimbia kwenu ila safisha kutu za meno

Mimi ni mzalendo , nitafia hapa bongo ....Haujui hata unachobisha .
 
Umekula cha asubuhi kwanza naweza kuta nabishana na mpumbavu mmoja asiyekuwa na hata pa kulala
 
Sasa mnaenda kusoma scholarship , halafu mbona hamna kipya mnaleta kwenu ..Hamna ugunduzi mnafanyavichwa butu.
Hata vyuo vya hapa Tanzania watu wanafanya bunifu nyingi sana lakini hazifiki popote
Nchi yenyewe inaonekana haijaweka kipaumbele kwenye ubunifu so ni ngumu watu binafsi kufanikiwa wenyewe
Acha watu wakasome nje kujijenga, ikiwezekana wakafanyie kazi nchi zinazojitambua waishi maisha mazuri
 
Mimi ni ishara ya wewe kuwa mjinga , nimezliwa najua ..Wewe ni mtumwa , hauna thamani zaidi ya kukimbia kwenu ila safisha kutu za meno

Mimi ni mzalendo , nitafia hapa bongo ....Haujui hata unachobisha .
Definition mbaya sana ya uzalendo
Kufia Bongo ni maamuzi sio uzalendo
 
Hata vyuo vya hapa Tanzania watu wanafanya bunifu nyingi sana lakini hazifiki popote
Nchi yenyewe inaonekana haijaweka kipaumbele kwenye ubunifu so ni ngumu watu binafsi kufanikiwa wenyewe
Acha watu wakasome nje kujijenga, ikiwezekana wakafanyie kazi nchi zinazojitambua waishi maisha mazuri
Uongo , hakuna hizo bunifu ..Mnazofanya haziuziki soko la dunia.
 
Mimi ni mzalendo sio mshamba wa kwenda kushangaa maghorofa na kukua tu nchi za watu.
Utoto unakusumbua , aliyekuambia kwenda nnje ni kutokuwa mzalendo kakupoteza au una wivu fulani na akili za kimaskini zinakusumbua
 
Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari yangu iliniongoza hadi barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam, nikiwa na matumaini makubwa, ni huku ndipo yalipo makazi ya Balozi wa Japani nchini Tanzania.
View attachment 3581073
Nilipofika getini, nilipokelewa kwa upole na mlinzi aliyekuwa tayari kunisaidia. Lakini hali ilibadilika ghafla ndani ya dakika kama tano baada ya kamama kamoja kuibuka na kumkemea mlinzi kwa ukali. Nilipoingia ndani, badala ya kupata mwongozo, nilikutana na maneno yaliyovunja moyo—kwamba hakuna haja ya kwenda Japan, na elimu ya hapa inatosha. Zaidi ya hayo, niliambiwa deadline tayari imepita. Kwamba deadline ni mwezi Machi wakati tangazo limetoka Aprili, MAAJABU HAYA.
View attachment 3581075
Nilitoka nje nikiwa na maswali mengi kuliko majibu. Je, taarifa hizi ni sahihi au ni kizingiti kisichoonekana kwa vijana wenye ndoto? Nje, nilikutana na kijana Mjapani aliyeshangaa kwa nini Waafrika wachache huomba ufadhili huo. Nilimjibu kwa huzuni—KWA AFRIKA, WATU NI CONNECTIONNA CONNECTION NI WATU.
View attachment 3581073
Nilitoka mule ndani nimechukia ile mbaya, Waafrika tunapeana wakati mgumu wenyewe, hapo hela za Ufadhili sio zao ila unakuwa kipele hivyo, je ukiweka jero kwenye hizo pesa itakuwaje?
Yeah, some decades ago nikiwa bado dogo niliwahi kwenda embassy fulani kwa ajili ya visa na aliyekuwa ananiwekea figisu ni mama mmoja wa Kitanzania aliyekuwa ameajiriwa hapo kwa miaka mingi. Nilikuwa nimeshapewa story zake kuwa amefanya hapo miaka mingi na anaongea fluently lugha ya hao watu kwa ubishi wangu nikatumia channels zangu nikapata namba zake, nikafika hiyo nchi kwa mbinu zangu nyingine nilipokuwa huko alikoma nilikuwa nampigia simu na kumporomoshea matusi kwa kipindi cha karibu mwaka mzima yaani hata haya anayotukanwa Chande yana nafuu. Wenyewe watu weupe huwa hawana shida kabisa lakini hizi ngozi za pum*bu ni shida sana.
Yaani tunabaniana wenyewe kwa wenyewe no wonder umasikini unakuwa mwingi kwenye hizo nchi za giza.
 
Niende nje kwa sababu gani
Hakuna alie kulazimisha uende , hauna sababu na wanao enda wana sababu zao , mtu mpambanaji hawezi kuwa na akili za hivi

Wasambaa wenzako wanapambana nnje na hapo ulipo wana fanya vitu vya maana makwao huo ni zaidi ya uzalendo , wanachuma kwa watu wanarudisha fadhila nyumbani na kufungilia fursa za ajira kwa vijana wa nyumbani , unapiga porojo za uzalendo bila kujua uzalendo ni kitu gani kama umekatwa kichwa
 
Hakuna alie kulazisha uende , hauna sanabu na wanao enda wana sababu zao , mtu mpambanaji hawezi kuwa na akili za hivi

Wasambaa wenzako wanapambana nnje na hapo ulipo wana fanya vitu vya maana makwao huo ni zaidi ya uzalendo , wanachuma kwa watu wanarudisha fadhila nyumbani na kufungilia fursa za ajira kwa vijana wa nyumbani , unapiga porojo za uzalendo bila kujua uzalendo ni kitu gani kama umekatwa kichwa
Mtumwa una tabu sana , kwani nn hujiamni ? kwani wewe ni jinsia gani ? Fadhila zipi mmeleta na hao wamekimbia makwao sio pasingejengeka .. Huko nje kwenyewe mmechoka , mnaishi sukuma siku .
 
Back
Top Bottom