Science ina support uwepo wa Mungu

Ndio maana watu waliotengeneza dhana hiyo ya imani waliweka na vitisho kwa sababu walijuq ipo siku watu watahoji kwa kasi mno
Mkuu, kuamini ktk deities hakujaanza jana wala juzi ni karne nyingi zimepita kabla hata ya ujio wa dini.

Je, ushawahi jiuliza imani ya deities aliisambaza nani dunia nzima ktk jamii zisofahamiana wala kuchangamana?
 
Mkuu, imani zetu zote zinasadiki uwepo wa mungu mmoja, hivo tofauti ya muundo wala isikupe shida.
 
Mkuu ulichoandika kinapinga atom kuhusika kuunda maada au ulitaka kumaanisha nini?
 
mtoto kua atheist. nadhani unalazimisha kutetea, ulichoaminishwa na nadharia yako ya atheism ilorasmishwa na yule mhuni wa kifaransa, bila yule jamaa sidhani kama tungedebate hapa.
Na wewe unalazimisha kutetea imani zako uchwara ulizo pumbazwa na kuaminishwa na viongozi wako dini.

Bila hao viongozi wako wa dini, kukujaza upumbavu huko kichwani mwako, Usinge hangaika kumtetea huyo Mungu mchovu na mdhaifu ambaye hawezi kujidhihirisha mwenyewe.
hatuamini uwepo wa mungu ajili ya kuaminishwa na wazazi bt tunaamini ajili ya deities experience.
Deities experience uliitoa wapi?

Au ulizaliwa ukiwa na hiyo
"Deities experience" bila kuambiwa na mtu yeyote yule?
Kuamini ktk deities kumeanza karne nyingi ktk jamii tofauti tofauti duniani kabla ya dini na jamii za watu kuchangamana, je ushawahi jiuliza aliezipelekea idea ya kuamini deities jamii zisofahamiana ni nani?
Kuamini, watu waliamini hata mawe, miti, majabali na milima.

Kuamini unaweza kuamini hata uongo, Lakini ukianza kudai kwamba hicho unacho kiamini ni ukweli lazima uthibitishe hilo.

Mpaka sasa hujathibitisha uwepo wa hao "Deities" unaruka ruka tu.
 
Siku hizi si lazima uvute bangi ndio uwe ume wehuka
 
Mkuu ulichoandika kinapinga atom kuhusika kuunda maada au ulitaka kumaanisha nini?
Nimeingia ndani zaidi.
Hapo naonesha kuwa hizo 3 subatomic particles zinazounda atom nazo zimetokana na vitu vingine. Kwa hiyo suala la kuhusisha utatu wa sub-atomic particles na Uungu, si sahihi. Maana hizo sub atomic particles na zenyewe zinatokana sub-subparticles ambazo zipo zaidi ya tatu.
 
Mkuu deities experience inapatikana kuanzia ngazi ya familia, mitaani, mashuleni na nk... Huko utashuhudia watu walio na mapepo, mizimu, uchawi na nk.

Asubuhi nilikueleza mtu asie na deities experience nadhani hayupo sawa upstair coz haya ni matatizo ya kila siku ktk jamii tunazoishi.
 
Title ya thread inasema "jinsi scince inasupport uwepo wa mungu" inajieleza vyema, nadhani ungeielewa wala usingekuja na maoni yale.
 
Mkuu deities experience inapatikana kuanzia ngazi ya familia, mitaani, mashuleni na nk... Huko utashuhudia watu walio na mapepo, mizimu, uchawi na nk.
Sasa ulikuwa unakataa nini kwamba imani ya "Deities" umeaminishwa kutoka kwa familia yako kupitia wazazi/walezi wako, Mitaani na mashuleni kupitia watu wa imani/kidini pamoja na viongozi wa dini?

Nilikueleza hivi tangu mwanzoni Kwamba hukuzaliwa na imani ya aina yeyote ile, mpaka pale ulipo aminishwa na watangulizi wako. Ila ukawa unabisha bisha tu.
Asubuhi nilikueleza mtu asie na deities experience nadhani hayupo sawa upstair coz haya ni matatizo ya kila siku ktk jamii tunazoishi.
Wewe huelewi hata unavyo viandika.

Rudi kaji elimishe.

Kwanza ulivyosema tu, Atom ndio uthibitisho wa kisayansi wa uwepo wa Mungu.

Ina onesha huelewi hata sayansi ni nini.
 
Kwahiyo hapa Mungu unamfananisha na Atom kweli?
Umesoma hadi kitabu gani kwenye maandiko na je huku kwenye sayansi umesoma hadi la ngapi. Si kwa ubaya lakini
Title ya thread inasema "jinsi science inasupport uwepo wa mungu"

Ni wapi mungu amefananishwa na atom?
 
Deities experience wala sio jambo la kuaminishwa na mtu, ni mambo yanayotokea daily ktk jamii zetu.

Nadhani nyinyi hampo sawa upstair ndo maana hamna deities experience inayowafanya watu waamini uwepo wa mungu.
 
Hongera mkuu, upo ktk right direction ktk utafutaji wa maarifa.
 
Deities experience wala sio jambo la kuaminishwa na mtu, ni mambo yanayotokea daily ktk jamii zetu.
Uliwezaje kujua kuna "Deity" bila kuambiwa na kuaminishwa hivyo?
Nadhani nyinyi hampo sawa upstair ndo maana hamna deities experience inayowafanya watu waamini uwepo wa mungu.
Huyo Mungu anacho taka aaminiwe ni nini?

Huyo Mungu asipo aminiwa atakufa au?

Naona ninyi Theists ndio mnahangaika sana kumpigania huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu ambaye hawezi hata kujidhihirisha mwenyewe.

Na huu ni uthibitisho tosha kwamba huyo Mungu hayupo.

Ni nyie tu mmemtunga vichwani mwenu na mnakazana kufosi aonekane yupo, kumbe hayupo.

Huyo Mungu kama yupo, ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe kwamba yupo.

Anacho jifichia huko alipo kama mwali ni nini?

Afu eti anataka kuaminiwa, inaonekana huyo Mungu wenu ni kilaza kabisa.
 
Mkuu, kuamini ktk deities hakujaanza jana wala juzi ni karne nyingi zimepita kabla hata ya ujio wa dini.

Je, ushawahi jiuliza imani ya deities aliisambaza nani dunia nzima ktk jamii zisofahamiana wala kuchangamana?
Ipo tofauti ya Kuamini miungu/ mungu na kutoamini kabisa.
 
Title ya thread inasema "jinsi science inasupport uwepo wa mungu"

Ni wapi mungu amefananishwa na atom?
Soma hapa....
"Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu)."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…